Dini ya nini katika siasa huyu jamaa anataka nini?
Tusiingize udini katika siasa
Je TRA ina waslam % ngapi na wakristu % ngapi?
Hatufiki kokote.
Udini na Ukabira haufai kabisa
Kwa nini wasimalize tu,
Iundwe tume huru ya majaji ikiongozwa na kiongozi wa upinzani bungeni Hamad Rashid au Slaa au Zitto ndio tutajua ukweli.
Selelii jimbo lake liko ktk matatizo toka awe mbuge mpaka sasa hakuna alilofanya barabara ya Nzega Tabora mbovu,Hakuna maji Nzega matatizo ya dawa...
Hawa Viongozi wote hawafai kabisa wajiuzuru tu maana hatuoni maendeleo yoyote.
Kipa mzuri anaachwa na wachezaji wazuri wanaachwa.
Sababu zake ni za kitoto kabisa
Hakuna kipa bora kuliko Juma Kaseja wote tunafahamu
Athumani Idd na Haruna Moshi bado ni wazuri sana.
Tenga na Mwakalebela hawafai...
Hapa sio Rostam au Rowasa hapa,Hapa ni je tume ya Mwakyembe ilisema kweli au?
Maana hawa kina Mwakyembe nao walikuwa na maslahi yao ktk umeme wa upepo singida sasa iundwe tume kuwachunguza hao kina mwakyembe
Mwenyekiti awe Slaa au Zitto
Do itakuwa ngumu,
Chadema tafuteni kiongozi mzuri wa kupambana na ccm sio huyu hafai mtu akiwa na madeni atalipa akiwa rais hatumtaki.
Kwa ninimsitafute mtu safi wa kupambana na JK
Hawa jamaa kina Mengi sijui kwa nini tunawakumbatia mpaka sasa na kuwaona eti wao wanasaidia sana jamii.
Ukweli ni kwamba wanatumia pesa zetu kujitangaza wao,pesa za walala hoi ndio wanatumia.
Lakini Rostam alisema kuwa Mengi kaiuzia NICO kampuni yake iliyofilisika sisi hatukusikia sasa ndio...
Zitto umetuangusha sana vijana wenzako una umedhihirisha kuwa huwawezi wachaga.
Sasa tunajua kuwa hatuwezi kubadilisha chama cha wachaga kuwa chama cha watanzania wote.
Wachaga oyeeeee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.