Recent content by Will Jr

  1. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uingereza ladai kuwepo Mtandao Mkubwa wa Silaha na Dawa za Kulevya Afrika: Marais Kadhaa Watajwa. Uchunguzi (investigation) unaendelea

    Watu wanene wengi wapo smart, wanajua udhaifu wao hawawezi kufanya kazi za nguvu zinawachosha so they capitalize on brain, either Scamming au ujanja wa kurahisisha mambo
  2. Will Jr

    JamiiForums Tanzania 50m mtaji kwenda china au nifungue biashara Gani dar au mkoa wowote?

    Wewe ni fala
  3. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Nimefatilia kwa ukaribu Watu wanapenda Sana Mpira na washabiki hawana Uwezo mkubwa wa kiakili

    Wewe ndio huna akili kuandika pia hujui
  4. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliyopita mtu angekuambia utazungumza na kompyuta kama mtu, ikuelewe Kiswahili, ikuandikie barua na ikusaidie kazi ngumu” usingeweza kumuelew

    Janga gani boss? Hapo sasa maendeleo ndio yatakuja, Ile bustani ya Eden inayozungumzwa kwenye vitabu vya dini ndio hiyo, no need to workhard, unafanya smart work, robot unalifeed data linafanya Kila kitu, unajikuta muda mwingi unakula Bata na kusali.
  5. Will Jr

    JamiiForums Tanzania I Wish Ningekuwa Wakili wa Sandaland: Jinsi ya Kumwanika Makonda Kwenye Sakata la NIKE, Utajiri Wake na Utata wa Jina la Bashite

    Yani ukiwa mlopokaji km bwana yule afu watu wakufikishe mbele ya sheria wakufunze utaratibu wa mambo, hapo ndio utaelewa maana ya msemo 'mdomo uliponza kichwa,
  6. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hiyo misimu hatukuwa na depth, so injuries zilitunyima ubingwa lakini City alikuwa na timu bora sana kama unakumbuka
  7. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Chelsea leo wana attacks ipo relaxed kuliko yetu, they can pose a threat lkn haituzuii kushinda mechi, Arteta na Berta wameruhusu Chelsea na City Ku strengthen their squads wakati sisi tupo pale pale attacking-wise, hiki ndio kinafanya wao kuingia kwenye equation kurival dhidi yetu.
  8. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mwarobaini wa tatizo letu la kucheza sexy football ni kusajili superstar attackers, sahivi tunakosa balance btn defence na attacks, Vini Jr kama angesajiliwa ilikuwa ni asset kubwa sana kuliko Alvarez
  9. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ila sahivi tumekuwa strong sana, not a full squad lakini unaona we deploy total dominance, my problem with Arteta ni kwamba we're not entertaing as much km ilivyokuwa kipindi cha nyuma, kitu ambacho kinaninyima hali ya kuangalia game the full 90
  10. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta anajisahau na anasahau paka utamaduni wa club, hii club imeundwa na ilipendwa kwa sababu ya mpira mzuri na magoli mengi, kukaa unalinda 1-0 dakika 90 haya mambo ni Atletico Madrid
  11. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We kwetu waga ni mserereko hata usajili nani, kiufupi ligi ishakua ya kwetu sio kwasababu timu nyingi ni dhaifu ila kiukweli we have built a dynasty km asemavyo Arteta, midfield ya Guimaraes + Rice unafikiri mchezo nini, sisi tuna compete na PSG na Real Madrid tu, na Man city km pep angekuwepo
  12. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    To be honest, bila dogo lewis skelly kuingilia kati, zubimendi kidogo atupotezee ubingwa msimu uliopita, jamaa sijui alikuja kuwaje kuwaje, yani akicheza dakika 10 tu unaona game inaanza kumshinda, akawa tofauti kabisa na standard za wenzake, bado naamini ana kitu mguuni ila ni vizuri kuona...
  13. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Guimaraes anachukua nafasi ya Noorgard ambaye amejiunga na Everton, Uwanjani Guimaraes anaweza kutumika km box to box that's means he is rotating with Declan rice lakini pia anaingia direct kwenye nafasi ya Defensive midfielder kwa lengo la Ku improve required standard, Zubimendi hapa kazi anayo
  14. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Taarifa ya Ornstein inaonesha they have discussed him(vini jr) and approved him at all levels, na huu ni usajili wa The Kroenkes kuliko Arteta naamini, pia i believe lengo ni kuongeza thamani ya Club na utajiri wake kiujumla
  15. Will Jr

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Epl tunapiga back to back, nasikia Rodri anataka kumkimbia Maresca!
Back
Top Bottom