Recent content by wilbard athanass

  1. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Manunuzi Amazon & Ebay. Seller hatumi mzigo kuja Tanzania

    wanajavi hii kuagiza mzigo nje imekaaaje maana niliagiza bidhaa china tarehe 13 mwezi huu naona mapak sasa bado haujatoka china huwa unakaa siku ngapi mpaka kunifikia
  2. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa mlinzi binafsi wa Kagame auawa Afrika Kusini

    Ni itakua ni hatari tupu hakuna urafiki wa jambazi na mtu ambaye siye jambazi
  3. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa mlinzi binafsi wa Kagame auawa Afrika Kusini

    Hapana yule yupo uk kk
  4. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Kwanini Canaan alilaaniwa na sio Ham?!

    Nisoma japo ni muda mrefu nikaona leo kidogo nitolee majibu ni kwann ham hakulaaniwa uzao wa nuhu ulikuwa umebarikiwa na Mungu Ndio maana nuhu alishindwa kumlaani mtoto na laana zake zikaenda kwa mjukuu wake canan
  5. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania 195 gigapixel ndani ya picha moja.

    Hii picha ni hatari hii camera iliyo tumika duuuh
  6. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

    Hii habari niliisikia siku nyingi kuhusu huyu mfalme wa guam ila sikuthibitisha
  7. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Dola leo hii inanunuliwa kwa zaidi ya shilingi 2300?

    Ikipanda kichwani ndio inakua hatari zaidi
  8. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Military Politics: Is Magufuli in danger?

    Upofu upo hapa
  9. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Hapa ndio ahali tunapolishwa matango pori
  10. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Biblia kwa Jicho Jingine

    Huyu jamaa kapotea wapi atupe mwendelezo
  11. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Zambia Kimenuka: Wananchi wapinga Mchina kuuziwa mali ya umma, barabara zafungwa

    Wazee wenu lin walipambana kk
  12. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Tulipofikia kwa miaka 19 bila Mwalimu Nyerere, Taifa halina dira ya kueleweka na siasa zetu zinaacha njia yake

    Kk hongera sana kwa kuja na huku sio tu fcb tu mushi
  13. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu

    Kuna shida kubwa sana hapa kwenye elimu yetu
  14. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu abainika bado bikra 2018

    Kulogwa kubaya sana
  15. wilbard athanass

    JamiiForums Tanzania The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Nakipataje kk
Back
Top Bottom