Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,478
Unaelewa ulichoandika hapo ni "logical non sequitur" ?Kwa mujibu wa maelezo yako haiwezekani ukaamini kitu ambacho una uthibitisho juu ya hicho kitu,wanaoamini Mungu hawana uthibitisho sasa ukisema hawezi kuthibitisha kwa sababu Mungu hayupo unakuwa unajichanganya mwenyewe.
Ukweli kwamba haiwezekani ukaamini kitu A ambacho una uthibitisho wacho, haufanyi asiye na uthibitisho na kitu A asihitaji uthibitisho ili kuhakiki kwamba anachoamini ni kweli kipo, na wala si hadithi tu.
Kama Mungu hayupo, ukweli kwamba unaamini Mungu yupo haufanyi Mungu awepo.
Unaelewa hilo?