Mkude pass zake nyingi ni squar pass ambazo hazipeki timu mbele zinafanya timu ionekane inapiga pass nyingi zisizo na faida ndio maana kukosekana kwa Mkude game ya Simba na AS Vita ya Congo timu ilikuwa inakwenda mbele haraka sioni kama kuna ukweli wa unachosema ila ni mtego ili tupoteze game...
Wakati mwingine kuujua ukweli ni jambo hatari sana, maana dunia ukweli ni mdogo sana na watu wengi wanaamini uongo ndio ukweli na mara nyingi ukisema ukweli walio wengi wanakushanga na wakati mwingine wanaweza kukuona kichaa maana wanajua uongo ndio ukweli. Kuna gharama kubwa sana zinatumika...
Ukita kuzungumzia jambo au kutoa hoja kabla ya kufanya chochote fahamu asili yake, fahamu madhara na faida ndio anza kuongea ndio inaitwa hekima.
Mfano kuna vita ya CUF na CHADEMA ambayo ambayo ilitokea baada ya Lipumba kurejea CUF itaamia ACT jambo la kwanza, upinzani wa ACT bara utatoka kwa...
TFF ilitoa tenda Azm ndio akashinda kwanini startime asishiriki na sio Azm anaonyesha bure ni uwezo wake wa kuonyesha kama Startime atakuwa na uwezo sidhani kama kutakuwa na shida kubwa kwa Azam kama unavyofikiria maana sio analipwa ila yeye ndio analipia na Azam ana product kipao kama yeye...
Singependa kutofautiana na wewe kwa yote ulioandika au kusema kwa maana upo sahihi kwa kiwango kikubwa sana. Ila naweka nyongeza inawezekana kwa kutumia lugha na mtazamo mwingine ambao ukiangalia kwa kina utakuta tunaongea jambo moja ambalo linaweza kuonakena tofauti kwa wanaowaza kidogo. IQ...
Mara nyingi nafurahishwa sana na mada zako nyingi maana nikisoma naona unafikri kwa kina na kimantiki kabla ya kuziandika. Binadamu ana vitu vingi sana anafanana na wanyama ila tofauti kubwa ipo kwenye kufikiri, kiwango cha wanyama katika kufikiri ni kidogo sana ingawa wanayo akili. Binadamu...
Mwaka 1967 ndio Azimio la Arusha lilizaliwa na lengo lake kubwa ilikuwa Serikali kumiliki njia zote kuu za uchumi ndio kukawa na kitu kinaitwa utaifishaji wa mali za watu binafisi au taasisi binafisi na mashirika ya dini zilichukuliwa na serikali ndicho kipindi wazungu, waarabu na wahindi...
Mwaka 1967 ndio Azimio la Arusha lilizaliwa na lengo lake kubwa ilikuwa Serikali kumiliki njia zote kuu za uchumi ndio kukawa na kitu kinaitwa utaifishaji wa mali za watu binafisi au taasisi binafisi na mashirika ya dini zilichukuliwa na serikali ndicho kipindi wazungu, waarabu na wahindi...
Mfumo wa elimu ni jambo pana ndio ustawi wa nchi na watu wake tukiangalia kwa upande mmoja kweli tunaona unachoona kwa maana hatutofautiani na wengine lkn ukiangalia ktk jicho la tatu utaona tunatofautiana katika matumizi baada ya kupata elimu tunatofautiana ndipo utajua kuna kitu tunakosa...
Tulivyo leo ni matokeo ya tulivyo waza na kufanya maamuzi siku za nyuma. Tunavyowaza leo na kufanya maamuzi ni matokeo ya maisha yetu siku zijazo. Binadamu chochote alichonacho alivyo ni matokeo ya mawazo yake hakuna binadamu anakuja na utajiri ila anaukuta duniani na uwezo wake ndio unamsaidia...
Moja ya sababu kuwa Ruge alikuwa zaidi ya mtu maarufu ni hii kuendelea kuzungumzwa kwa ubaya na uzuri wakati amekufa. Dhana ya ubaya na uzuri wa mtu inategemea alikugusa wapi maana jukumu lakutaka kuguswa na mtu ni lako mwenyewe, ukimwona mtu mbaya kwako wewe mwenyewe ndio mtu wa kwanza...
Gari zuri sana spare za kumwaga ila bei kinapita sehemu yoyote hakikwamwi. Ila kina mashine ndogo cc 1300 hakiwezi kuhimili mwendo mrefu na mikiki mingi ndio maana watu wengi wanaviua vinataka misele kidogo
Madiba hakuwa kama wengi wanavyomfikiria leo, Makaburu walibrand jina lake ili wafanikiwe kuingiza Afrika nzima katika himaya yao ni mpango wa zaidi ya miaka mia lkn walikuwa wanatafuta mtu sahihi wa kukamilisha mission yao. Kuna watu waliokuwa vichwa kama kina Criss Han na Steve Biko waliwaua...
Major Gen. M Kimario alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kati 1983-1989 kama sijakosea mwenye historia nzuri anaisaidie. Vita vya Kagera vilikwisha Mwaka 1979. Hii taarifa ina mapungufu makubwa sana na kama ni kweli alifanya jambo ambalo sio nidhamu ya kazi na jeshi , pia vita ni mpango mkakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.