Exclusive: Wachezaji wa Uganda Cranes Okwi na Murshid wasema akipangwa Mkude katika Kiungo watafungwa Kiurahisi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,385
108,441
Ninachokiweka hapa na sehemu tu ya Maongezi yangu ya Kirafiki ambayo huwa nafanya na Wachezaji wengi wa Kiganda hasa hawa wanaocheza hapa Tanzania hasa kutokana na Historia yangu binafsi na hiyo nchi na Waganda kwa ujumla hali ambayo imenifanya niwe Rafiki yao wakiwa hapa Tanzania.

Katika ' Kuchati ' Kwangu na Wachezaji wa Kiganda wanaocheza pia Timu ya Simba akina Emanuel Okwi na Juuko Murshid wameonyesha Kukisifia mno Kikosi cha Taifa Stars na hasa hii ' Morale ' kubwa iliyopo huku wakisema kuwa hiyo Jumapili Kazi wanayo ila wakasema kuwa wanamuomba sana na mno Mwenyezi Mungu kuwa Kiungo Jonas Gerald Mkude ambao Wao wanamuona ndiyo ' Injini ' na ' bora ' kwa sasa nchini Tanzania asipangwe kwani kama akipangwa basi kwa aina ya ' Uchezeshaji ' wake kuna uwezekano mkubwa Wao ( Uganda Cranes ) wakafungwa mengi na Taifa Stars.

" Bother GENTAMYCINE naomba Mungu Mkude wetu huyu asipangwe na aendelee tu Kukaa benchi kwani kwa ninavyomjua na anavyojua Kuchezesha Timu kama akipangwa basi akina Samata, Msuva na Kichuya watatuumiza mapema mno na Waganda tutaumbuka. Tunamuogopa "...maelezo ya Okwi haya.

" Ssebo GENTAMYCINE huna Mganga ili utupeleke Waganda kusudi tumfumbe Macho Kocha Amunike asahau Kumpanga Mkude kwani kama kuna Mtu ambaye endapo akipangwa Siku hiyo anaweza kutibua Shehere yetu ya Kufuzu AFCON ni Yeye kwani ni Kiungo mwenye macho makali ya kujua wapi aupenyeze Mpira huku akijua Kutuliza Timu na nadhani hata Wewe Ssebo huwa unaona Timu yetu ya Simba ikiwa inacheza Kazi ya Mkude "....maelezo ya Murshid.

Akina GENTAMYCINE tukisema kuwa kwa sasa hakuna ' Defensive Midfielder ' bora hapa Afrika Mashariki kama Jonas Gerald Mkude kuna Watu huwa hamuelewi ila sasa kumbe hata Wachezaji wenzake wa Simba SC na wa Timu ya Taifa ya Uganda akina Emanuel Okwi na Juuko Murshid wamesema na kukiri kuwa ni Mchezaji mzuri, muhimu na amebarikiwa Kucheza sehemu ya Kiungo cha Chini ( Namba Sita )

Kazi Kwenu sasa mtakaopanga Kikosi cha Taifa Stars cha Jumapili dhidi ya Uganda Cranes ila Jonas Mkude ndiyo ' Lulu ' yetu.

Nawasilisha.
 
kama kuna Mtu ambaye endapo akipangwa Siku hiyo anaweza kutibua Shehere yetu ya Kufuzu AFCON ni Yeye kwani ni Kiungo mwenye macho makali ya kujua wapi aupenyeze Mpira huku akijua Kutuliza Timu na nadhani hata Wewe Ssebo huwa unaona Timu yetu ya Simba ikiwa inacheza Kazi ya Mkude "....maelezo ya Murshid.
Ha ha ha ha ha
 
Ninachokiweka hapa na sehemu tu ya Maongezi yangu ya Kirafiki ambayo huwa nafanya na Wachezaji wengi wa Kiganda hasa hawa wanaocheza hapa Tanzania hasa kutokana na Historia yangu binafsi na hiyo nchi na Waganda kwa ujumla hali ambayo imenifanya niwe Rafiki yao wakiwa hapa Tanzania.

Katika ' Kuchati ' Kwangu na Wachezaji wa Kiganda wanaocheza pia Timu ya Simba akina Emanuel Okwi na Juuko Murshid wameonyesha Kukisifia mno Kikosi cha Taifa Stars na hasa hii ' Morale ' kubwa iliyopo huku wakisema kuwa hiyo Jumapili Kazi wanayo ila wakasema kuwa wanamuomba sana na mno Mwenyezi Mungu kuwa Kiungo Jonas Gerald Mkude ambao Wao wanamuona ndiyo ' Injini ' na ' bora ' kwa sasa nchini Tanzania asipangwe kwani kama akipangwa basi kwa aina ya ' Uchezeshaji ' wake kuna uwezekano mkubwa Wao ( Uganda Cranes ) wakafungwa mengi na Taifa Stars.

" Bother GENTAMYCINE naomba Mungu Mkude wetu huyu asipangwe na aendelee tu Kukaa benchi kwani kwa ninavyomjua na anavyojua Kuchezesha Timu kama akipangwa basi akina Samata, Msuva na Kichuya watatuumiza mapema mno na Waganda tutaumbuka. Tunamuogopa "...maelezo ya Okwi haya.

" Ssebo GENTAMYCINE huna Mganga ili utupeleke Waganda kusudi tumfumbe Macho Kocha Amunike asahau Kumpanga Mkude kwani kama kuna Mtu ambaye endapo akipangwa Siku hiyo anaweza kutibua Shehere yetu ya Kufuzu AFCON ni Yeye kwani ni Kiungo mwenye macho makali ya kujua wapi aupenyeze Mpira huku akijua Kutuliza Timu na nadhani hata Wewe Ssebo huwa unaona Timu yetu ya Simba ikiwa inacheza Kazi ya Mkude "....maelezo ya Murshid.

Akina GENTAMYCINE tukisema kuwa kwa sasa hakuna ' Defensive Midfielder ' bora hapa Afrika Mashariki kama Jonas Gerald Mkude kuna Watu huwa hamuelewi ila sasa kumbe hata Wachezaji wenzake wa Simba SC na wa Timu ya Taifa ya Uganda akina Emanuel Okwi na Juuko Murshid wamesema na kukiri kuwa ni Mchezaji mzuri, muhimu na amebarikiwa Kucheza sehemu ya Kiungo cha Chini ( Namba Sita )

Kazi Kwenu sasa mtakaopanga Kikosi cha Taifa Stars cha Jumapili dhidi ya Uganda Cranes ila Jonas Mkude ndiyo ' Lulu ' yetu.

Nawasilisha.

Kwanini isiwe kinyume chake kwamba wanataka apangwe huyo Mkude ili waweze kumdhibiti kwani pengine wanajua namna ya kumdhibiti?? Kwanini tusiamini kuwa mleta uzi huu anatumika na maadui?? Mbinu na fitina za mpira zipo nyingi sana...hizo huko juu zinaitwa 'mind games'...Watanzania tusitumike kirahisi na maadui wetu kuhusu mchezo huu...tusilete pressure zisizo na maana kuhusu nani apangwe dhidi ya Uganda...naichukulia habari hii kuwa ni kampeni ya kumshinikiza mwalimu (Amunike) ampange Mkude...Tumwache mwalimu afanye maamuzi yake yake...
 
Kwanza hata wakati naandika huu Uzi nilijua kabisa kuwa kuna ' Comment ' kama hii ya ' Kipumbavu ' inayotoka kwa Mtu ' Mpumbavu ' na aliyejawa na ' Uswahili ' pamoja na ' Ushamba ' lazima tu ingekuja na hatimaye imekuja kweli na kwa wakati pia hivyo kuthibitisha kuwa Saikolojia yangu ni Kali na kile ambacho huwa nakihisi huwa kunajidhihiri vile vile.

Hata haya majibu yako ni uthibitisho tosha kuwa utakuwa umezaliwa katika Familia inayopambana mno Kimaisha Duni na ambayo huenda pia umekulia nayo kiasi kwamba kwa shida ulizopitia na Makuzi yako yamekujenga uwe na Chuki kwa Mtu au Watu ambao unawaona labda wamekuzidi Maarifa au wanajuana na Watu wenye Umaarufu wao.

Na bahati nzuri sana hata katika maelezo yangu tu ya awali nime ‘ declare interest ‘ kuwa kutokana na Historia yangu na hasa na nchi ya Uganda na Waganda ( ambayo sidhani kama ina faida Kwako kuijua kwa sasa ) hawa Wachezaji wa Kiganda na hasa wanaokuja Kuchezea hizi Timu Kubwa kama hii yangu ya Simba na Azam huwa najenga nao Ukaribu nah ii ni kutokana na kwamba hata Mimi pia nimeishi mno Kwao na huwa siwaoni tu kama ni Marafiki bali pia huwa nawaona ni sehemu ya Ndugu zangu.

Sijaanza huu Uzi ambao nimesema ni ‘ Exclusive ‘ labda nijionyeshe Kwenu au nitafute Kiki kwani ni ‘ Mpumbavu ‘ tu pekee wakiongozwa na Wewe ndiyo anaweza kusema kwamba Mtu ambaye anatumia ‘ Fake ID ‘ hapa JamiiForums anatafuta Kiki ila ‘ Comment ‘ yako hii ingekuja kama natumia ‘ Verified ID ‘ hapa basi kidogo ningekuona una Hoja ya Msingi na Fikirishi pia.

Unaposhangaa leo Mimi kujuana na akina Okwi na Murshid mbona hushangai hata aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC na Beki Joseph Owino ( ambaye sasa anacheza Lipuli FC ) ya Iringa nae pia ni Mtu wangu wa karibu na ninampa Ushirikiano mkubwa mno hapa Tanzania hadi sasa ameamua kuishi kabisa hapa na Kuoa Mwanamke wa Kitanzania na ameshazaa nae?

Na kwa kukusaidia tu ni kwamba Ukaribu wangu na hawa Wachezaji huwa hauishii tu kwa hawa Wachezaji wa Kiganda bali hata Wachezaji wako wa Kitanzania ni Wanangu / Marafiki zangu wakubwa kuliko unavyodhani kwani wapo ambao nilikuwa nacheza nao ‘ Ndondo ‘ enzi hizo huku wengine hivi sasa nikiwa nacheza nao ‘ Kiveterani ‘ pale Leaders Club kila Jumamosi na hata Jumapili kama nikiwa na muda.

Kwa kumalizia tu kuna ‘ Mpumbavu ‘ mwenzio Penison amesema kuwa Mimi napenda Kujifanya najua kila Kitu hivyo hali hii inamkwaza sana na kwa Rekodi zangu hapa JamiiForums nadhani haya Madai hajaanza kuyatoa Yeye bali kuna ‘ Wapumbavu ‘ wenzie walishamtangulia katika hili na bahati nzuri huwa sikosi majibu ya kuwapa.

Tatizo kubwa linalowasumbueni Watanzania wengi hasa wenye ‘ Upumbavu ‘ na ‘ Ushamba ‘ kama wako na wa huyo Mwenzio ni kwamba hamjajijenga katika Kupenda Kutafuta Maarifa mbalimbali. Mimi siyo kwamba labda nina Akili sijui kubwa ila kama kuna Mwanadamu ambaye anapenda Kujua Mambo mengi, Kufuatilia Vitu vingi, Kudadisi sana, Kujisomea mno Machapisho mbalimbali na hasa Kujichanganya na Watu wa Kila rika ili kuzidi Kujua mengi basi ni Mimi GENTAMYCINE hivyo yawezekana hizi ‘ Hulka ‘ zangu Kwenu zinageuka kuwa ‘ Shubiri ‘ kiasi kwamba hadi huwa mnakosa Usingizi na Mimi.

Hivi Mtu Penison akiwa anasema kwamba GENTAMYCINE anajifanya anajua Vitu vingi / Mambo mengi kwani kuna mahala popote pale na Yeye labda amezuiwa kuwa hivyo kama Mimi? Hivi Mtu kujikita zaidi katika Kutafuta Maarifa mengi ya mambo ya Kijamii, Kiuchumi, Kisiasa, Kitaaluma na mengineyo kisha akawa anayajua mengi ni tatizo au kosa la Jinai?

Na labda kupitia Wewe ‘ Mpumbavu ‘ Kiongozi wao nikuambie tu kwamba sitaacha kamwe kuwa Mtu wa Kutafuta Maarifa zaidi na kadri Wewe na hao Wenzako mnavyozidi Kunichukia na Kunifuatafuata kila Uchao ndiyo mnanijenga zaidi na kuonyesha kuwa kweli Mimi GENTAMYCINE ni “ Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer “ na ndiyo maana kutwa mnateseka name na uwepo wangu hapa Jamvini na msipobadilika mtapata taabu sana name hadi mtanuna na kupasuka kabisa Mfe na hivyo ‘ Visununu ‘ vyenu.

Mnaacha Kujadili Hoja njema tu niliyoileta mnakimbilia Kumjadili GENTAMYCINE halafu nikiwa nawadharau baadhi yenu na kuwaiteni ‘ Wapumbavu ‘ hivi huwa ninakosea? Hivi kujuana na Watu maarufu kumbe ni dhambi? Hivi mnajuaje je kama Mazingira ya Kiuwajibikaji ya GENTAMYCINE yanamfanya awe karibu nao au ajuane na Watu wengi wengi wenye Umaarufu na Hadhi yao halafu akawa anayawasilisha mambo yao hapa Jamvini kwa nia njema tu ( very positive and debatable too ) hapo kunakuwa na Kosa au Ubaya?

Isambaze ‘ Post ‘ hii na kwa ‘ Wapumbavu ‘ wenzio tafadhali na nasubiri kwa hamu zote ' Mapovu ' yenu zaidi Waswahili na Watu wenye Uswahili hadi katika ' Miubongo ' yenu ambapo mmekaa tu Kichuki chuki na Kihusuda husuda huku mkitaka kulazimisha ni lazima Watu wengine wanafanane nanyi au waishi Maisha yenu mliyoyazoe. Kumbe kusema tu unajuana na akina Okwi na Murshid na kwamba ni Marafiki ni Kutafuta Kiki / Umaarufa JamiiForums? Mna Fikra za Kimasikini na Mitazamo ya Kichawi sana.

Cc: Dukeson
Acha kupotosha watu wewe hizi stori zako za kufikirika hadithia wajinga wenzako chumbani sijawahi kuona mtu mkurupukaji kama wewe kama huna data uwe unakaa kimya TAPELI MKUBWA WEWE .
 
Hili ni jibu lakini ni makala pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokiweka hapa na sehemu tu ya Maongezi yangu ya Kirafiki ambayo huwa nafanya na Wachezaji wengi wa Kiganda hasa hawa wanaocheza hapa Tanzania hasa kutokana na Historia yangu binafsi na hiyo nchi na Waganda kwa ujumla hali ambayo imenifanya niwe Rafiki yao wakiwa hapa Tanzania.

Katika ' Kuchati ' Kwangu na Wachezaji wa Kiganda wanaocheza pia Timu ya Simba akina Emanuel Okwi na Juuko Murshid wameonyesha Kukisifia mno Kikosi cha Taifa Stars na hasa hii ' Morale ' kubwa iliyopo huku wakisema kuwa hiyo Jumapili Kazi wanayo ila wakasema kuwa wanamuomba sana na mno Mwenyezi Mungu kuwa Kiungo Jonas Gerald Mkude ambao Wao wanamuona ndiyo ' Injini ' na ' bora ' kwa sasa nchini Tanzania asipangwe kwani kama akipangwa basi kwa aina ya ' Uchezeshaji ' wake kuna uwezekano mkubwa Wao ( Uganda Cranes ) wakafungwa mengi na Taifa Stars.

" Bother GENTAMYCINE naomba Mungu Mkude wetu huyu asipangwe na aendelee tu Kukaa benchi kwani kwa ninavyomjua na anavyojua Kuchezesha Timu kama akipangwa basi akina Samata, Msuva na Kichuya watatuumiza mapema mno na Waganda tutaumbuka. Tunamuogopa "...maelezo ya Okwi haya.

" Ssebo GENTAMYCINE huna Mganga ili utupeleke Waganda kusudi tumfumbe Macho Kocha Amunike asahau Kumpanga Mkude kwani kama kuna Mtu ambaye endapo akipangwa Siku hiyo anaweza kutibua Shehere yetu ya Kufuzu AFCON ni Yeye kwani ni Kiungo mwenye macho makali ya kujua wapi aupenyeze Mpira huku akijua Kutuliza Timu na nadhani hata Wewe Ssebo huwa unaona Timu yetu ya Simba ikiwa inacheza Kazi ya Mkude "....maelezo ya Murshid.

Akina GENTAMYCINE tukisema kuwa kwa sasa hakuna ' Defensive Midfielder ' bora hapa Afrika Mashariki kama Jonas Gerald Mkude kuna Watu huwa hamuelewi ila sasa kumbe hata Wachezaji wenzake wa Simba SC na wa Timu ya Taifa ya Uganda akina Emanuel Okwi na Juuko Murshid wamesema na kukiri kuwa ni Mchezaji mzuri, muhimu na amebarikiwa Kucheza sehemu ya Kiungo cha Chini ( Namba Sita )

Kazi Kwenu sasa mtakaopanga Kikosi cha Taifa Stars cha Jumapili dhidi ya Uganda Cranes ila Jonas Mkude ndiyo ' Lulu ' yetu.

Nawasilisha.
Genta nakukubali sana. Kiukweli utakuwa umeongea nao. Maana hata mimi niliwahi kumsikia okwi akisema katika vipaji adimu kuwahi kupatikana hapa Tz, basi mkude ana kipaji cha kutisha.

GENDAMYCINE Wakati fulani badala ya kukuchukia kwa kunipotezea muda kusoma makala zako lakn kuna kitu fulani huwa unanifurahisha sana mdogo wangu..... ''kuelezea hali halisi ya hisia za moyo wako na kile unachokipenda na kukiamini bila kujali nani atakupinga kwenye hoja zako''. big up sana!!!!
 
Ninachokiweka hapa na sehemu tu ya Maongezi yangu ya Kirafiki ambayo huwa nafanya na Wachezaji wengi wa Kiganda hasa hawa wanaocheza hapa Tanzania hasa kutokana na Historia yangu binafsi na hiyo nchi na Waganda kwa ujumla hali ambayo imenifanya niwe Rafiki yao wakiwa hapa Tanzania.

Katika ' Kuchati ' Kwangu na Wachezaji wa Kiganda wanaocheza pia Timu ya Simba akina Emanuel Okwi na Juuko Murshid wameonyesha Kukisifia mno Kikosi cha Taifa Stars na hasa hii ' Morale ' kubwa iliyopo huku wakisema kuwa hiyo Jumapili Kazi wanayo ila wakasema kuwa wanamuomba sana na mno Mwenyezi Mungu kuwa Kiungo Jonas Gerald Mkude ambao Wao wanamuona ndiyo ' Injini ' na ' bora ' kwa sasa nchini Tanzania asipangwe kwani kama akipangwa basi kwa aina ya ' Uchezeshaji ' wake kuna uwezekano mkubwa Wao ( Uganda Cranes ) wakafungwa mengi na Taifa Stars.

" Bother GENTAMYCINE naomba Mungu Mkude wetu huyu asipangwe na aendelee tu Kukaa benchi kwani kwa ninavyomjua na anavyojua Kuchezesha Timu kama akipangwa basi akina Samata, Msuva na Kichuya watatuumiza mapema mno na Waganda tutaumbuka. Tunamuogopa "...maelezo ya Okwi haya.

" Ssebo GENTAMYCINE huna Mganga ili utupeleke Waganda kusudi tumfumbe Macho Kocha Amunike asahau Kumpanga Mkude kwani kama kuna Mtu ambaye endapo akipangwa Siku hiyo anaweza kutibua Shehere yetu ya Kufuzu AFCON ni Yeye kwani ni Kiungo mwenye macho makali ya kujua wapi aupenyeze Mpira huku akijua Kutuliza Timu na nadhani hata Wewe Ssebo huwa unaona Timu yetu ya Simba ikiwa inacheza Kazi ya Mkude "....maelezo ya Murshid.

Akina GENTAMYCINE tukisema kuwa kwa sasa hakuna ' Defensive Midfielder ' bora hapa Afrika Mashariki kama Jonas Gerald Mkude kuna Watu huwa hamuelewi ila sasa kumbe hata Wachezaji wenzake wa Simba SC na wa Timu ya Taifa ya Uganda akina Emanuel Okwi na Juuko Murshid wamesema na kukiri kuwa ni Mchezaji mzuri, muhimu na amebarikiwa Kucheza sehemu ya Kiungo cha Chini ( Namba Sita )

Kazi Kwenu sasa mtakaopanga Kikosi cha Taifa Stars cha Jumapili dhidi ya Uganda Cranes ila Jonas Mkude ndiyo ' Lulu ' yetu.

Nawasilisha.
Mkude pass zake nyingi ni squar pass ambazo hazipeki timu mbele zinafanya timu ionekane inapiga pass nyingi zisizo na faida ndio maana kukosekana kwa Mkude game ya Simba na AS Vita ya Congo timu ilikuwa inakwenda mbele haraka sioni kama kuna ukweli wa unachosema ila ni mtego ili tupoteze game waambie hatudanganyiki......
 
Back
Top Bottom