Wengi wetu tulitupilia mbali yale madishi makubwa, ni wakati muafaka wa kuyarejesha kwa ajili ya local channels. Mimi nina king,amuzi cha Azam na dish kubwa kwa ajili ya local channels. Sikujua kama kuna mgogoro huo hadi nilipoiona via Taarifa ya habari ya ITV. Ukiambiwa kitu changanya na zako...
Ninaunga mkono hoja. Kingine, ule ushauri wako kuhusu pendekezo la kuanzisha TRA EFDs app nalo lilikuwa bomba sana. Mwisho-nakushauri thread zako za kiushauri uwe unaziweka chini ya thread mpya unayoifungua ili ziwe zinaonekana kwa urahisi.
Wazo lako ni zuri, nikushauri uboreshe wazo lako hivi:-
1. Tengeneza website itakayokuwa ina orodha za ahadi kama zilivo ktk ilani (manifesto) ya ccm, zilizotekelezwa, zinazoendelea na ambazo bado. Zionyeshe kwa asilimia pia. Unaweza kuanzia ilani ya 2010/2015 ili kuleta mvuto kwa msomaji...
Mfano DRC, yaani Democratic Republic of Congo-utawala wa kidemorasia ndo unawafanya waendelee kuteseka maana hakuna nchi nyingine duniani inayoweza kuwaamulia wajitawale vipi. Hadi atokee mwanamapinduzi wa ndani wa kuubadili upepo ndo mambo yatabadilika. Uganda hali kadhalika, kisa eti...
Hongera, ukianza na 1milioni si vibaya hata chini ya hapo kinachotakiwa fungua mlango ili ujue watu wanahitaji nini. Anza na pafyumu, lotions, brazilian hairs, shapoo.
Njia rahisi ya kujua mahitaji ni kufikiria kama kuna saloon za kike jirani zingehitaji vitu gani vya haraka haraka. Pia fikiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.