cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 649
Msaada wa hilo jamani mweee
ThanxTafuta software ya hiyo printer kwenye google then install kwenye laptop yako kisha anza installation.
Hata Mimi ya kwangu Jana ilisumbua sana nika install kwa kudownload drivers onlineTafuta software ya hiyo printer kwenye google then install kwenye laptop yako kisha anza installation.
Una cd ya hiyo printer?Msaada wa hilo jamani mweee
Ndiyo ninayo mkuu,nimeweka cd ya software yake hatua zote inakubali ila hatua ya mwisho ya test print haionekaniUna cd ya hiyo printer?
Printer haiwi installed kwa kuchomeka mawaya tu. Lazima uinstall software ya hiyo printer kwenye laptop yako pia.