GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Yaani watu wengi mngekuwa na akiri kama zangu, tungegoma kabisa kuiangalia hiyo TBC yao kwenye visimbuzi aina yoyote ile, TCRA wajue kabisa kuwa hizi channel hazipendwi.
Kwenye uhuru wa kupata habari tumerudi nyuma sana.
Pia huu ni ujumbe kwa wabunge wetu wanapo tunga sheria wawe wanafikiria kwa maana sana.
Uzuri ni kuwa hata wana CCM kindaki ndaki hii shida wanaipata