Recent content by Wi-Fi

  1. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Waandishi wa habari someni mjue mikutano inahusu nini kabla hamjaenda kwenye mikutano

    Huyu nilikua namuona mtu wa maana zamani ila kumbe hamna kitu.
  2. Wi-Fi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife kaninunia tena.

    Mimi pia alikua ananunanuna hapo mwanzo ila kwasasa hanaga tena shida, saa zingine yeye mwenyewe ndio ananionesha maana anajua vitu navyovipenda.[emoji1] Ukiwa na mwanamke ambae anakuelewa na anachukulia vitu "easy" inakuwaga raha sana.
  3. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya kituo cha kulelea wazee wenye uhitaji

    Nakijua kimoja kipo Kigamboni maeneo ya Nunge, ngoja nijaribu kutafuta mawasiliano yao.
  4. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    You're a conservative sorry to say, uzalendo wa mdomoni bila kutumia akili ni sifuri. Watu wanakupa shule ila wewe umajikita kwenye ubishi tu bila kuwa na data. Nakuongezea information nyingine, kampuni nyingi za bima kama sio zote (hapa Tanzania) ukiangalia vitabu vyao zinafanya hasara kwenye...
  5. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Huyu mleta mada ni wakupuuza tu, amekalia ubishi na kujifanya mzalendo bila kuruhusu kichwa kuelewa mambo asiyoyajua.
  6. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Pendekeza hayo maboresho, acha malalamiko kwa huduma ambayo unatumia bure.
  7. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Duh! Wali Maharagwe umepanda bei, umefikia 1,500/=

    Kwa migahawa mingi ya Posta Dar Es Salaam chakula kimepanda kwa buku nzima tokea week iliyopita.
  8. Wi-Fi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Pole sana kwa hilo tatizo mkuu, labda nijaribu kushauri, kama kwa sasa uko kwenye mahusiano basi fanya siku moja moja mkae wote tu ndani (wewe unaweza kuvaa boxer tu na yeye kanga moja) bila kufanya tendo. Unaweza ukaweka movie mkaangalia wote au mkafanya usafi, kupika etc kama ratiba za kila...
  9. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Bus la Maning nice linanyanyasa abiria

    Inaumiza sana mwanafunzi ameachwa apambane mwenyewe wakati bus lina abiria wamekaa
  10. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Bus la Maning nice linanyanyasa abiria

    Kama unazo namba za huyo mwanafunzi naomba nipatie niwasiliane nae, nataka niangalie namna yakumnunulia godoro lingine. Kama abiria mliokuwepo kwenye hilo basi sijaelewa mlishindwaje kumsaidia huyo mwanafunzi mpaka bus likaondoka na gorodoro ni aibu kwenu, ila nikupogeze kufanya hicho...
  11. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

    Kasema Div 3 sio Div 1 ya 3... aibu kwako
  12. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Dola milioni 300 au 30? Inasemekana mwaka 2012 serikali ililipa dola milioni 20 bado dola milioni 10
  13. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Runx, Allex or Subaru Impreza wadau niko njia panda

    Ukihitajika uweke vielelezo/vithibitisho kwamba viyoyozi vya Suzuki na Subaru havipo mwanana kama ulivyo "conclude" hapo juu utaweza kutetea hoja yako?
  14. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Runx, Allex or Subaru Impreza wadau niko njia panda

    Kama ulitaka kumuuliza mtu mmoja ungemtumia DM, swala la AC ni tatizo la magari yao labda hawajafanya "service" ya mfumo mzima wa AC kwa muda mrefu ukizingatia ni magari yaliyotumika.. Mimi natumia Subaru kiyoyozi kinapooza kama kawaida.. Nisamehe kama umekwazika na majibu yangu, ila uwe...
  15. Wi-Fi

    JamiiForums Tanzania Runx, Allex or Subaru Impreza wadau niko njia panda

    Haupo serious wewe, unawapotezea watu muda..
Back
Top Bottom