Naomba mawasiliano ya kituo cha kulelea wazee wenye uhitaji

stevhinoz

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2021
Posts
228
Reaction score
514
Nina vitu nataka kuchangia kama sadaka kwa wazee wenye uhitaji.

Naomba mawasiliano yaekituo chochote kilichopo Dar es Salaam ili niweze kuwafikishia.

Vitu ni mchanganyiko wa mavazi, mashuka, vitu vya matumizi ya kila siku nk

Anaefahamu mawasiliano yao ya simu naomba anisaidie hapa au PM.

Asanteni
 
Oohooo ukute ndo unataka kumpeleka huko mzazi wako,

Hivi vituo dsm sijawahi visikia, but I know mama mmoja anahudumia wahitaji wa hivyo, yuko mikoani, ukitaka namba just PM
 
Nina vitu nataka kuchangia kama sadaka kwa wazee wenye uhitaji.

Naomba mawasiliano yaekituo chochote kilichopo Dar es Salaam ili niweze kuwafikishia.

Vitu ni mchanganyiko wa mavazi, mashuka, vitu vya matumizi ya kila siku nk

Anaefahamu mawasiliano yao ya simu naomba anisaidie hapa au PM.

Asanteni
Nakijua kimoja kipo Kigamboni maeneo ya Nunge, ngoja nijaribu kutafuta mawasiliano yao.
 
Asante mkuu, nitafurahi kama nitapata maana nilianza kukata tamaa kwa sababu ya 0 response.
 
Kipo kituo Nunge Kigamboni, labda ufike Nunge kisha uulizie Kituo cha Kutunza Wazee kilipo.

Kila la kheri Mkuu
 
Nina vitu nataka kuchangia kama sadaka kwa wazee wenye uhitaji.

Naomba mawasiliano yaekituo chochote kilichopo Dar es Salaam ili niweze kuwafikishia.

Vitu ni mchanganyiko wa mavazi, mashuka, vitu vya matumizi ya kila siku nk

Anaefahamu mawasiliano yao ya simu naomba anisaidie hapa au PM.

Asanteni
Kituo cha kwanza ni Nunge Kigamboni, pili kama ni muumini wa dini nenda kanisani au msikitini wanayo orodha ya wazee wenye uhitaji, ila kanisa Katoliki wapo vizuri zaidi kwa rekodi sahihi katika hili kutokana na structure ya kanisa lilivyo na mafumgamano na jamii.

Mwisho kama hauishi Masaki, oysterbay, mikocheni, mbezi beach and likes, yani unaishi uswahilini kama mimi, basi naamini hapo hapo mtaani unapoishi kuna wazee wenye uhitaji so vibaya ukianza na hao, charity begins at home.
 
Asante mkuu, nitafurahi kama nitapata maana nilianza kukata tamaa kwa sababu ya 0 response.
Huku maswala ya msingi uchangiagi wake ni Mdogo sana,
Hata mimi kuna Kipindi nilikuwa nahitaji ushauri humu kwa ajili ya kuanzisha kitu kama hiki, lakini sikupata ushauri hata mmoja
 
Nina vitu nataka kuchangia kama sadaka kwa wazee wenye uhitaji.

Naomba mawasiliano yaekituo chochote kilichopo Dar es Salaam ili niweze kuwafikishia.

Vitu ni mchanganyiko wa mavazi, mashuka, vitu vya matumizi ya kila siku nk

Anaefahamu mawasiliano yao ya simu naomba anisaidie hapa au PM.

Asanteni
Sorry kwa wepesi zaidi unaweza uka Google lakini kuna kile cha Morogoro
 
Kuna hiki hapa
Kituo cha kulea na kuwahifadhi wazee wasiojiweza na watu wengine wenye mahitaji ya kijamii cha Nunge Kigamboni Manisipaa ya Temeke DSM hakina huduma ya umeme kwa zaidi ya wiki moja pamoja na huduma hafifu ya zahanati ya kituo hicho.
Credit ITV 2012 kwa msaada wa google
 
Nina vitu nataka kuchangia kama sadaka kwa wazee wenye uhitaji.

Naomba mawasiliano yaekituo chochote kilichopo Dar es Salaam ili niweze kuwafikishia.

Vitu ni mchanganyiko wa mavazi, mashuka, vitu vya matumizi ya kila siku nk

Anaefahamu mawasiliano yao ya simu naomba anisaidie hapa au PM.

Asanteni
Ingawa Beggars are not choosers lakini kibongo bongo nguo ambazo nyingi zimeanza maisha kama second hand cloths unaweza kukuta ikimfikia mlengwa muhitaji ikawa ni third or fourthhand...

Anyway all the best ila kipindi hiki cha mitumba unaweza ukawa umebeba furushi kuwapelekea watoto chimbo fulani ukakuta wamepiga pamba kuliko hata kilichomo kwenye furushi (ni kwamba wanajua shopping na machimbo)
 
Sasa umeandika nini?
Hovyooooooo
 
Back
Top Bottom