NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

Anigrain

JF-Expert Member
Nov 15, 2020
537
1,000
EXAMINATION CENTRE RANKING
EXAMINATION CENTRE REGION​
GEITA​
TOTAL PASSED CANDIDATES​
233​
EXAMINATION CENTRE GPA​
3.6686​
CENTRE CATEGORY​
CENTRE WITH 40 CANDIDATES OR MORE​
CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE)​
30/103​
CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE)​
1209/3956​

CHATO:
Watafukuzwa kazi, hawaoni wa Utalii anavyojikomba! Msonde take care unafukuzwa. You were supposed to inflate passes for this particular school! Salary Slip Sky Eclat BAK
Mkuu hapo ndio wamejitahidi kadri ya uwezo wao kubusti mitambo, hivo ata yeye ataelewa tu kuwa ingekuwa ghafra sana watu wangeshtukia, ila fatilia miaka 2 ijayo ndio utajua kuwa muda mwingine nawao wanajua kuusoma mchezo
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,373
2,000
Mkuu hapo ndio wamejitahidi kadri ya uwezo wao kubusti mitambo, hivo ata yeye ataelewa tu kuwa ingekuwa ghafra sana watu wangeshtukia, ila fatilia miaka 2 ijayo ndio utajua kuwa muda mwingine nawao wanajua kuusoma mchezo
Umenena point tupu! Hawataki watu washtuke... give them time to absorb the shock slowly!
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
27,762
2,000
Mkuu samahani
Hivi ili Mtu achaguliwe special school huwa wanatumia vigezo gani?
Cut off point ni Ngapi?
Kwa O level,
Darasa la 7 uwe na A ktk masomo yote.

Kwa A level.
Science
Division 1, points 7 - 14, grades comb AAA - ABB.

Arts
Division 1, points 7 - 17, grades comb AAA - BBB.
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
27,762
2,000
Dogo kapata dv III ya 23, atachaguliwa au ndo tujiandae na shule za private..
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' FREN - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'D'
HKL 1St selection. Anaenda form 5 bila wasi wasi.
 
Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,992
2,000
Kwa O level,
Darasa la 7 uwe na A ktk masomo yote.

Kwa A level.
Science
Division 1, points 7 - 14, grades comb AAA - ABB.

Arts
Division 1, points 7 - 17, grades comb AAA - BBB.
thats it mjomba, watoto wanapenda spesho skuu huku wanashinda nyimbo za kina dai na maigizo ya mama dangote eti hajui mimba ya daimond aliyeiweka ni nani? that means kwa wiki moja alikuwa anagongwa na zaidi ya watu watatu
 
ila wee lol, speshoooooh tamu bhana, muhusika unajiona kipanga wa ukweli, huku wazazi wakijisikia faraja na amani. Nashukuru kupita ktk 1 ya shule za speshooooooh.
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,567
2,000
Kwa O level,
Darasa la 7 uwe na A ktk masomo yote.

Kwa A level.
Science
Division 1, points 7 - 14, grades comb AAA - ABB.

Arts
Division 1, points 7 - 17, grades comb AAA - BBB.
Kwa A level inategemea na ufaulu wa mwaka husika kama wa mwaka huu Physics A na B chache hata wenye C za Physics watachaguliwa ila masomo yaliobaki yawe A
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
27,762
2,000
Kwa A level inategemea na ufaulu wa mwaka husika kama wa mwaka huu Physics A na B chache hata wenye C za Physics watachaguliwa ila masomo yaliobaki yawe A
Mie nimetoa kadri ya muongozo husika, na ndio utaratibu uliopo, sasa hili la mwaka huu kuhusu physics itajulikana hapo baadae.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom