Recent content by whiteskunk

 1. whiteskunk

  Kwa nini kumekuwa na ongezeko kubwa la watoto kulelewa na mama pekee?

  Wanaume wa kuoa wapo, ila ubaya hawahongi.
 2. whiteskunk

  Badala ya kununua Tecno nunua hiki chuma

  Mkuu hivi nikiagiza simu mpya aliexpress sitakatwa kodi?
 3. whiteskunk

  BINTI: Filamu ya kwanza ya Kitanzania inayooneshwa Netflix

  Siwezi angalia muvi ya kibongo ata iwekwe wapi.
 4. whiteskunk

  Dunia ni ngumu jitahidi kufurahi kila uwezapo

  Hiki kizazi mwanamke anamkataa anayempenda kwa dhati anamfata mwenye gari, anazalishwa anaachwa anaanza kulalamika wanaume hatuna upendo.
 5. whiteskunk

  Umasoni: Sherehe za siri na itikadi za wanawake wa Freemason

  Haya maelezo yapo sahihi kabisa, freemasonry haihusiani na ushetani kama wengi wanavyoamini. Washington alisaidiwa na freemanson kuipatia marekani uhuru 1776. Ni bora mtu awe freemanson kuliko walokole wanafiki wachumia tumbo.
 6. whiteskunk

  Tanesco na baadhi ya viongozi wenye dhamana Serikalini wanapata faida gani kukata umeme?

  Arusha huku kwetu ni siku ya tatu leo wanakata asubuhi mpaka usiku, hawana huruma na hatuna mtu wa kututetea, masikini tunazidi kudidimia.
 7. whiteskunk

  Selfika na JF: Snap it. Show it

  Kumbe boss kabisa
 8. whiteskunk

  Msaada wa kujua namna ya kutrack infinix S5pro

  Ubaya wa simu za mediatek ni wepesi wa kucheza na IMEI, ipotezee au nenda polisi lakini jiandae kuzungushwa na kuliwa hela.
 9. whiteskunk

  Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

  Mtu anayetegemea ajira anakuambia usitegemee ajira.
 10. whiteskunk

  Mythology: Mjue Malaika Azrael(Malaika mtoa roho)

  Je huyu mdudu anatoa roho kwa viumbe wasioamini au atheists?
Top Bottom