Recent content by white-frank mhiro

  1. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Uuuwi nikisikia KIBAHA mwili unasisimka... nikisikia ILBORU nazidi kuchanganyikiwa... long live my schools..... Hahahaha.. ONCE SPECIAL ALWAYS SPECIAL watani zangu MZUMBE .... hahaha KILAKALA msalato pale kati ... ahaaaa na watoto wa Tabora galz... Special always... Nooo jembe lao KISIMIRI na...
  2. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Prof. Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine, CUF hana nafasi labda uanachama tu!

    Kwani zile sababu zilizo mfanya ajiondoe ZIMEONDOKA???? PhD nyingine bwana...!!!!!
  3. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Ukaidi wa Zitto kwa Serikali

    Mimi ni mwana CCM ila zitto ni zaidi ya Mwana siasa Mpinzani wa kitanzania... !! Sijaona kosa lake hali hii ni ''kawaida'' Kwa demokrasia ya katiba ya 1977 ...!!!
  4. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Tumerudi nyuma miaka 50 kwenye demokrasia, Kikwete apelekwe mahakamani

    Hongera jenerali kwa mwazo kuntu...!!! LAKINI naona kurudi nyuma huko ume ''over-rate'' tofauti na ilivyo sasa..!! Hali hii haiwezi kuondoka kama mfumo wa utawala ni uleule ( katiba) .. Ni lazima tubadili mfumo kuleta hicho kinachoitwa ''demokrasia''
  5. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Upinzani DRC waungana kumuondoa madarakani Rais Kabila

    Kwanini Belgium????? nimewaza kwa sauti tu...!
  6. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Majina ya Utani Mashuleni

    kibaha boys...!! Kuongea pumba=kufuka wasichana wabovu=mapolygoni ugali=bondo maharage=ndondo maandz =mapisi mikate=mipongoo kunywa chai tupu= kupiga deki kuoga= kuchirizi na mengineee ongezea #preciousKibaha
  7. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Tangazo unalolipenda

    ''ah kabla ya kupanda kwenye stage.....!'' ONGEA DEILEE Then COCA COLA ONJA MSISIMKO daaa apa diamond kauaa.. ''na ili joto dar tupate ya baridi coca...'' Tigo GROUP LA MA X Then
  8. white-frank mhiro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

    Rita chuwalu (EA R) Uyu dada ana unique voice..!! Irine Tillya (EAR DRIVE) MAMMY BABY i see yo...!! VIDO (MOSH FM) LUI NDAKIDEMI (MOSH FM) DOLI na KWA FUJO (RADIO one) Sandra Temu (TIMES FM) Mariam KITOSI (Times fm) DINA MARIOS uuwi hii sauti (E FM) na wengine wengi
  9. white-frank mhiro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote ni wajanja!

    Hahahah... Watani zangu....!!! Nitaoa Marangu...!!!
  10. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon

    kwani ana degree ya ngapi Kwenye dini ya jay z....!!!??? Anyway cospiracy
  11. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Wauguzi sita Temeke wasimamishwa Kazi kwa kuuza gloves

    Rudia tena kusoma ukiwa umetulia.. Kuna watu umewaumiza. '' Haya maneno hawezi kuyatoa mwenye timamu hata kidogo... ''
  12. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Mbowe ajitosa kuwatetea Watumishi wa Umma waliofukuzwa

    kuchanganyikiwa kupo kwa aina nyingi... hii pia ni aina mojawapo...
  13. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Iran Yatuma Meli ya Kivita Tanzania Mafisa Kuingia kambi zote...

    some thing connected to zanzibar??? au ujio wa israel tz ??? kwann iwe kiusalama??? kwann hadi meli???. Y Tanzania??? Tuna biashra gni na iran??? anyway nawaza kwa sauti...!!!
  14. white-frank mhiro

    JamiiForums Tanzania Shirika la Elimu Kibaha kuchunguzwa

    boraaaaaa mi ni mwanafunzi ndani ya shirika.... Bora waziri we are tired of MPE***
Back
Top Bottom