Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,266
Vyama vya upinzani vinavyoongoza huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo - DRC vinasema vimejipanga chini ya mwamvuli mmoja unaoitwa "Ressembement" au Rally " ili kumlazimisha Rais Joseph Kabila kuondoka madarakani.
Muhula wa pili wa Rais Kabila unaisha mwishoni mwa mwaka huu.
Ushirika mpya uliundwa wiki iliyopita huko Belgium na unajumuisha chama cha Union for Democracy and Social Progress - UDPS kinachoongoza na kiongozi mkongwe wa upinzani Etienne Tshisekede.
Dynamic Opposition na G7 ambacho hivi karibuni kilimchagua gavana wa jimbo la Katanga, Moise Katumbi kama mgombea wake wa urais.
Vidiye Tshimanga ni makamu wa Rais wa Alternative 2016 moja ya makundi yaliyotengeneza ushirika mpya, alisema ushirika mpya utaongozwa na mwanasiasa mkongwe Etienne Tshisekede.