Ukaidi wa Zitto kwa Serikali

Ukaidi wa Zitto kwa Serikali

Zitto atakuwa anatumika. Na wanaomtumia ni watu wanaomwaminisha serikali haiwezi mfanya chochote maana wao Wana nguvu ya kuizuia serikali.

Zitto anaaminishwa kama vile Lowasa alivyowaaminisha kwamba anakuja nawafuasi wa CCM. Walimuahidi lakini baadae wakamwacha na wafuasi kiduchu.

Ndiyo hivyo inavyoweza tokea kwa Zitto, wanakuaminisha ila baadae watakuacha usote pekee yako. Zitto, tumia akili acha kutumika badala yake fanya siasa safi. Utakuja juta
yes..atakuja juta. miaka 10 ya jk kuachia wapinzani kucheza sarakasi zao mbona rushwa ndio ilipaa karibu kuangamiza nchi. kutumbua majipu ndio demokrasia watu wanataka sio uropokaji kila siku utadhani mtu amekua gazeti. hapa kazi tu sio maneno ya akina zitto kabwe et al
 
Which scientific method ar u going to use to test this alternative hypothesis?

It's quantitative methodology, as literature review has been reviewed and data collected. What next then? oh yes! it's the synthesis around justifying the very dead end.
 
Zitto atawasumbua sana, kiufupi brain ya Zitto ni kubwa mno! ukubwa wa akili za KB92 hutafananisha na GB kadhaa, the guys is too logical, he knows issues, na Jamaa anamjua kuwa ni threat, njama zoteee hizi ni kumfanya awe weak ila kwa mlango mwingine ndo mnampa kick kubwa kinyume na matarajio yenu.

mlishawahi kukaa na kujiuliza ni nini ambacho amehoji kinyume na taratibu na ni wapi ameongea jambo ambalo hali make sense? mwacheni aseme provide havunji katiba yoyote wala sheria za nchi. Zitto is my role model! thats it!
Ulichokiandika kitapingwa na wenye chuki binafsi au wasaka tonge tu.
Naungana mkono 100%
 
MkamaP ur roving around....be specific which method u would use? And which variables ar u going to their individual significant as well as general model
 
Look! the fellow has insulted presedent Kagame, Ok! let me cut it short, what if Rwanda would request for prosecution. Is this fellow will cry baby for Magufuli protection or would face the music in Rwanda? I pose.
 
Mimi ni mwana CCM ila zitto ni zaidi ya Mwana siasa Mpinzani wa kitanzania... !!
Sijaona kosa lake hali hii ni ''kawaida'' Kwa demokrasia ya katiba ya 1977 ...!!!
 
Mimi ni mwana CCM ila zitto ni zaidi ya Mwana siasa Mpinzani wa kitanzania... !!
Sijaona kosa lake hali hii ni ''kawaida'' Kwa demokrasia ya katiba ya 1977 ...!!!
Katiba ya 1977 inaruhusu kutukana rais wa nchi na wa nchi jirani kama alivyotukanwa Kagame? Kama hulioni kosa tujadiliane kivipi ndugu yangu ili tuelimishane?
 
Ana KB kama zako akicheza na wanaume watampa haki yake,serikali haijawahi shindwa,never ever to happen in this land,
 
Katiba ya 1977 inaruhusu kutukana rais wa nchi na wa nchi jirani kama alivyotukanwa Kagame? Kama hulioni kosa tujadiliane kivipi ndugu yangu ili tuelimishane?
Kwani Kagame sio Dictator? Kusema ukweli ndio kutukana?
 
Kwani Kagame sio Dictator? Kusema ukweli ndio kutukana?
Scietific proof plz. Si mnataka Demokrasia na utawala wa sheria basi aka prove kwa court ya Rwanda kwamba Kagame ni dikteta. Kama Kagame aki m call kwa court je ataenda ku proove ama atalilia protection ya Magufuli?
 
Mkuu Kagame amebadili Katiba ili aendelee kuwa kiongozi......anafuata nyayo za Mugabe na Museveni.....huoni kama ni indicator za dictatorship?
 
Moderator unaondoa threads zangu,
Zitto ni mzigo kwa,sisi tunaomjua anaishi kwa ushirikina,hana uwezo wa kushindana na dola na haitakuja tokea,hilo msahau
 
MkamaP,

..umesahau Raisi alivyomsifia Zitto wakati alipolihutubia bunge?

..sasa leo Raisi huyo huyo kamgeuka anatumia maaskari kumzuia Zitto asitoe maoni yake.

..binafsi sielewi kwanini serikali ya awamu ya 5 hawajiamini kiasi hiki.

..Wawaache tu wapinzani wabwabwaje wakati wao wakipiga kazi. Watanzania wana uwezo wa kutambua nani anawaeleza ukweli.

Nb.

..Zitto siyo mtu wa kuburuzwa hata kidogo. Sasa ukiona ameungana na cdm dhidi ya Naibu Spika ujue huyu mama anavuruga bunge.

Mkuu mimi huy Bwana Mkubwa namkubali. Ila kuna vitu ambavyo wakati mwingine anavifanya ndivyo sivyo. Kama hili la kuzuia demokrasia na mengine yanayofanana na hayo. Nilianza kuwa na mashaka, siku nimesikia kauli yake akiwahutubia Makamanda wa polisi, wapelelezi na Mawaili wafawid. Alipo waambia polisi wasitishwe na mtu awe mwanasiasa au nani. Nikajua tunako enda njia inaweza ikakosekana tusijue tunaelekea wapi.
 
JokaKuu
..Nakubaliana na wewe Raisi alimsifia Zitto na sifa sio kitu constant. sifa ni variable
.. swali umajuaje Raisi ndo anatuma askari, kwani kuzuiwa kufanya mikutano imeanza kipindi hiki tu?
.. Kwanini unaamini hawajiamini kwa vigezo vipi, nafikiri serikali inayojiamini inazuia wanasiasa kufanya siasa za fujo kama wanazotaka kufanya wanasiasa ktk awamu ya tano. Hakuna nchi yoyote inayoruhusu vitu hivyo.
.. Huwezi waruhusu wabwabwaje wakati unataka mikutano yao ilindwe na polisi. Wakati polisi ni resources adimu. Inatakiwa kuwe na hoja wakati na kipindi cha kupiga siasa.
We kweli huna akili Bro unataka kutuamiaminisha wapinzani ni vichaa hawajui wanachofanya? ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom