Recent content by Wewemwenyewe

  1. Wewemwenyewe

    Movies kali za weekend hii (Session 06)

    [emoji1431]
  2. Wewemwenyewe

    Mchikichini: Mtaa wa mateja uliotoa vipanga wengi kielimu Dar na mikoani

    Mapambano top ten ya Taifa ilikuwa inatoka pale. Tulikuwa tunanyooshana.
  3. Wewemwenyewe

    Huu ndiyo muonekano wa kijana wangu

    Inategemea na alipokulia Ashakuwa mkubwa now Usihangaike nae atakuzingua siku moja Just mwelekeze kwa utaratibu then achana nae Coz 19 keshaonja uhuru.
  4. Wewemwenyewe

    Mitazamo chanya katika biashara ya kupangisha vyumba/vyumba

    Kwa mahitaji ya msaada wa ujenzi kwa quality ya kihandisi msisite kunitafuta. Nipo hapa mhandisi ujenzi na msanifu majengo yupo. Kama una Ramani utalipa pesa ya “BOQ” kabla ya kazi na usimamizi wakati wa kazi ukitoa pesa ya material na mafundi. Kama huna Ramani nakuunganisha na “architect” wangu...
  5. Wewemwenyewe

    Math Tricks: Leo Nataka Kusoma Mawazo Yako

    Niliwafanyia hizi hesabu mwaka 1999 nilipokuwa darasa la nne Na zingine unaandika namba naruka mistari minne naandika jibu. Namba zote tutajaza katikati lazima jibu liwe niloandika Loooong time
  6. Wewemwenyewe

    Kusafisha tumbo msaada

    Fanya 3 days water fasting. Just relax at home and drink only water for 3 days. Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. Wewemwenyewe

    Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

    Mkuu Pasco hivi uliwashangaa Pia na kuwaandikia bandiko wale wabunge waliosema zitto inatakiwa auawe na marehemu lwakatare akapiga makofi. Au mshangao wako huwa ni one direction Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Wewemwenyewe

    Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    [emoji16][emoji16][emoji16] Astral world inakusumbua. Jaribu kupata balance ya kuweza kuingia na kutoka kwa hiari. Acha nyama upate initiation ukomae zaidi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji112] Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Wewemwenyewe

    Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Hizo ni experience za astral world tu. Hakuna uchawi hapo usiogope. Unapoogopa Ndio utaona vya ajabu zaidi. Lakini ni uongo mtupu una experience Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. Wewemwenyewe

    Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

    Nilichoona haraka haraka mwenge unahamasisha umoja kwa symbolism yake. Sasa kwa mwenge wetu sijui ni umoja wa aina gani either wa kutupeleka Chaka au kutupeleka sehemu sahihi. Hilo sijui. Kama hakutakuwa na mwenge kama ilivyozoeleka Maana yake kuna aina Fulani ya umoja utavunjika. Either for...
  11. Wewemwenyewe

    Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

    Ni wivu tu. Wamechomeana wenyewe kwa wenyewe. Zile report za kutikisa nchi Mbona hazikuwahi Tolewa. Angalieni series ya queen of south muone zaidi. Kama marekani iliweza kumuua kiongozi wa Iran kwa drone from US to Iraq how comes wameshindwa kudhibiti biashara hii kwao. Take that example to...
  12. Wewemwenyewe

    COVID 19 in Tanzania analysis and next steps

    Me Naona wahusika wa wananchi hawapo serious Na sisi. Take care of yourself kwa knowledge uliyonayo. Siku tukirudia ya Italy Ndio mtakumbuka haya maneno. Thanks Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom