Kusafisha tumbo msaada

Fanya 3 days water fasting. Just relax at home and drink only water for 3 days.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna binbegu vinauzwa sh.200 kamoja nunua viwili vibonde umeze na maji subiri uchafu utakaotoka tumboni utalikataa tumbo lako. Hakikisha siku hiyo upo home tu na hauna kazi ingine. Usisahau kila masaa 3 unywe lita moja ya maji
 
Kuna binbegu vinauzwa sh.200 kamoja nunua viwili vibonde umeze na maji subiri uchafu utakaotoka tumboni utalikataa tumbo lako. Hakikisha siku hiyo upo home tu na hauna kazi ingine. Usisahau kila masaa 3 unywe lita moja ya maji
Binbegu ndio nini? Inauzwa maduka ya aina gani?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Jamani nasikia kuna njia za kusafisha tumbo . Yaani binadamu anatakiwa kusafisha tumbo kwa kutoa sumu mwilini , uchafu n.k
kama kuna mtu ana idea juu ya hilo naomba kujuzwa
Nchi yetu shiiiiiida kweli kweli. Ni Tanzania tu ndiyo nchi ambayo raia wake wanatembea na sumu mwilini kama nyoka lakini tofauti na nyoka, sumu yao inatakiwa kuwa ''flushed'' na mara kwa mara!
 
1. Kupiga bomba.... Kuna kibomba unaingizwa huko nyuma kunawekwa maji ya vugu vugu kwenye chupa yanasafirishwa kupitia hicho kibomba hadi tumboni, baada ya muda tumbo linavurugika kibomba unakitoa, uchafu woooooooote unatoka, usiache kunywa Maji.

2. Kuna vimbegu wanauza maduka ya dawa ya asili, wanasema kimoja tu utaharisha ndio uchafu unatoka wooote, usiache kunywa Maji.

3. Kula Mapapai kwa siku badala ya chakula, utatoa uchafu woteeee, usiache kunywa Maji.

4. Mbegu za Mlonge japo hizi sio kila Mtu ana harisha unaweza ukatapika pia, usiache kunywa Maji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom