SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
- Thread starter
- #41
Kweli mkuu upo updated!Mule mule mie tena nilicheck mzee zote si unajua mtaalamu mwenyewe nazipata kwao, ukiielezea tu najua hii movie kali

sema kuna ambazo sijazipatia tu wasaa ila ni nzuri sana! Mathalani FORGOTTEN, WOLF WARRIOR na OPERATION RED SEA (Kama mpenzi wa mapigano).
nimekaribia mkuu, pilika pilika tu mzee baba za kusaka ugali siunajua tena.