Recent content by Wegr

  1. Wegr

    Mkandarasi Mshauri Mwanza Airport

    Hiyo mwz Airport inakera harafu inachosha jengo nililoliacha mwaka jana mwezi 8 nimerudi mwaka huu mwezi 2 hakuna kilichobadilika liko vile vile. Upuuzi mtupu
  2. Wegr

    Mchepuko Nimeunulia gari aina ya VX8 baada ya kulichoka kasema hakuna nilichomfanyia

    Yaani JF ni mimi tu ndo napanda gari za Chang'ombe mpaka paradise/dizo khaaa! Kila mtu ana gari, nyumba na maisha mazuri aroooo
  3. Wegr

    Wewe ni masikini kama huko kwenye kundi hili!

    Dah! leo masikini tumeandamwa humu sijui hata shida nini Kila nikifungua jeifu nakutana na masikini aisee
  4. Wegr

    Bei za nyumba za kupanga Dar mbona kama ziko overpriced?

    Bora hata Dar, dodoma mbona hakushikiki ndugu yaani kila unachogusa unabaki kujiuliza huyu anataka amalizie ujenzi kwangu nini!! Tangu mwezi wa 3 kuna mradi nausimamia hapa Dom aisee hapa nimetepeta sio kitoto, nimelazimika kufuata ushauri wa Dr wa Muhimbili bila kupenda
  5. Wegr

    DJ D Ommy aondoka Clouds

    Ndo nani huyo wakuu maana wengine maisha yanatuchanganya mpaka sio poa
  6. Wegr

    Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Hili hata mimi ninaeishi Mziha nilikuwa najua lingeweza kutokea sembuse hao wakubwa! Kama wakasema watalipa kisasi kwa Marekani juu ya yule kamanda wao alieuliwa mwaka juzi January wangeshindwa hapo kweli!! Hiyo Intel ingekuwa inajua ilikuwa imelala September 11! Vipi kuhusu zile balozi Tz...
  7. Wegr

    Naomba kujuzwa kuhusu Kampuni ya Global Alliance

    Zingatia: ukiitwa kwenye fursa kuwa makini yawezekana wewe ndo fursa
  8. Wegr

    Irani ikishambulia ndani ya nchi ya Israel itakua mwisho wa serikali ya kiislam ya Iran

    Yaani bongo mtu akishakula ugali na nguruka anakuwa mchambuzi wa kila jambo hataki kupitwa.
  9. Wegr

    Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Yaani mshahara wa mil1.5 kibongo bongo usitoboe!! mbona ni mshangao mkubwa Labda kama thinking capacity yako ni shida Lakini kwa mshahara huo watu wamejenga gari wanaendesha watoto wanasoma vizuri na maisha yao yako vizuri pia.
  10. Wegr

    Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Aisee baada ya kusoma hapa si nikaenda kuangalia FB yangu! mamaaa! Ujinga kabisa na nina mda mrefu sana siingii huko saiv naangalia nakutana na rafiki yangu kanitagg khaa! Nimeblock kabisa
  11. Wegr

    Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    Villa park mwanza, sijui nini kimeukuta!! Mwaka jana nilienda mwanza nikaambiwa haipo tena nilishangaa sana
  12. Wegr

    Wako wapi wale waliokuwa wanajipangia mshahara wakiona wanakaribia kumaliza chuo

    Mimi hata sielewi imekua kuaje mpaka nimejikuta ni dereva tax nyie maisha yasikie tu Wale wanangu hata sijui walipo sasa na matumaini yote tuliokuwa tunapeana imekuwa tofauti kabisa. Unazingua mtaani unakutana na msoto wa kiwango cha lami, mpaka sipati majibu
  13. Wegr

    Hivi Scout ya Simba sc Inawafanya Mashabiki Wa SIMBA SC ni Mambumbu sana

    Yaani hata sijui hao scout kama wanafanya kazi yao kwa uhuru bila kuingliwa na watu/mtu Hivi mtu umesomea kazi yako na unaijua vizuri umeajiriwa kwa ajiri ya hiyo kazi unawezaje kuleta wajinga wajinga kama hao eti ndo washambuliaji, % ni kubwa kwamba pale kuna ten pasenti Saidoo Louis Jobe...
Back
Top Bottom