Recent content by Watu flani

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, naweza kuifunga (lock) TV iliyoibiwa?

    Samehe tu
  2. W

    JamiiForums Tanzania Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

    Abiria wa Geita mjini wakishukia Chato airport haina shida,bei ikiwa nzuri watu wengi watapanda maana Kuna watu wanafanyakazi Geita mjini,Buselesele,Bwanga,Sengerema na Katoro na wanafamilia Dar wanaweza kuja kusalimia wakarudi kwenye shughuri zao.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Maziko ya Ndugu Minyembe: Polisi Kawe tunaomba ulinzi msibani, vijana wamepanga kufanya fujo

    Hawa wahuni mbona wanabembelezwa Sana wanafanya watu wasiishi kwa amani.
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba kumkataa Manara sijaona kama imekaa poa

    Huyu manara akili Hana kabisa na atakuja kuleta balaa siku moja TFF wawaangalie hawa wasemaji wa hizi timu.
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni lazima Mikel Arteta atimuliwe ili Arsenal isishuke daraja

    Bora arudi Arsenal Wenger tu
  6. W

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada: Nahitaji kufungua store ya vyuma (all metal)

    Na mimi naomba watu wafunguke humu tupate ABC ya hi biashara.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Naomba udhamini wa elimu ya juu

    Amref walishawahi kutoa mwaka 2014 ngazi ya cheti
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nilivyonunua gari la 13.3M within 11 Months kutimiza ndoto zangu

    Nishawahi pata milioni 8 ila sikuiwekeza vizuri ikaisha yote.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Je, kichuguu hutumika kishirikina?

    Mimi ninachofahamu kichuguu ni kizuri kwenye kilimo Cha mahindi tu.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Nyie mnaotoa kadi za harusi, zikiwa na fixed amount mnamaanisha nini

    Kwanini mtu asijichangishe starehe yake mwenyewe
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mchicha

    Nimelima mara ya kwanza mchicha kwa kusoma nyuzi za humu jf,Sasa nalima kwa mara ya pili.
Back
Top Bottom