Recent content by Wasudi

  1. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi io

    Wadau nataka kununua gari mitsubishi io. Vp ulaji wa mafuta spea ya petrol na diesel ipi nzuri? Naombeni ushauri tafadhali.
  2. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

    Kwa swala la mafuta mtwara tunaiita jini.
  3. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Saudia Majaribu, milio ya risasi

    Duh
  4. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Mmmmh
  5. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Simu yako ina utambulisho halisi?

    1/2 2/3
  6. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Hakuna wa kumtoa Mbowe madarakani ndani ya CHADEMA

    Basi tunasubiri jamaa wawanunue wanaowataka wakimaliza tutaanza huo mchakato.
  7. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Hakuna wa kumtoa Mbowe madarakani ndani ya CHADEMA

    Agenda zip?
  8. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Hakuna wa kumtoa Mbowe madarakani ndani ya CHADEMA

    Ili akitoka akae baba yako?
  9. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnataka mgundue nini

    Wivu tu wa mama yak we umetoka na wazee wangapi?
  10. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa na anajua nini maana ya ndoa

    Kumbe wasomi wanaenda wanachanganyikiwa na vitabu vyao hata alivyo lipumba anaweza mtaka mke akaweka sifa awe mkweli ,asiwe msariti nk
  11. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha chaki, Je, soko likoje?

    Sawa na mada hapo juu napenda kuanzisha kiwanda kidogo cha chaki swala la soko lipo. Mwenye uzoefu na hii inshu anijuze jinsi ya kupata mashine nzuri za kisasa, wapi napata material, vifungashio imara bora na vya kisasa, pia changamoto zake. Pia itanipasa kuwa na nyumba eneo la vyumba vingapi...
  12. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu wa kutumia uganga katika biashara

    Hapa watakukejeli kukudharau nk lakini asilimia tisini walofanikiwa wana siri zao chini ya capeti na wao wanakuwa wa kwanza kudharau hizo mila na hata iweje hapa hutapata jibu ila hayo mambo yapo na kila mtu yanamsaidia kivyake . Ingia porini kivyako na wala usimshirikishe mtu haya mambo
  13. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anatarajiwa kufanya ziara Mkoa wa Mwanza, atazindua Miradi na Viwanda Mbalimbali

    Binafsi naomba dua kwetu asije kabisa
  14. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    Hata wewe unazo nyingi sema hujui tu
  15. Wasudi

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli songa mbele, upande wako tuko wengi zaidi

    Titus john. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom