Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,128
- 16,191
Poa mkuu,Mi nipo ndg
Za masiku tele ni njema kabisa,sijui upande huo?
Nalog off
Sisi wakongwe wa kitambo..
Ingawa nilibadili username
Poa mkuu,Mi nipo ndg
Za masiku tele ni njema kabisa,sijui upande huo?
Nalog off
Kuna vitu wanaficha hawa, kuna vuguvugu mle. ebu pitia hii habari kutoka Mirror la Uingereza.Drone shot down outside Saudi Arabia palace sparks coup fears | Daily Mail Online
naona pro irani/russia walishaanza kushangilia..anyway now hata russia today now wameshabadilisha nakusema ni drone ndo ilioleta hio panic
Drone triggers gunfire outside royal palace in Riyadh (VIDEOS)
Ni kweli kabisa hili jina ni geni machining kwangu,jina lako la zamani ni Nani?Poa mkuu,
Sisi wakongwe wa kitambo..
Ingawa nilibadili username
yeah pale kuna mengi yanaendelea,unakumbuka kuna prince mmoja alifariki kwe ajali ya chopa juzi kati wakati MBS amewadaka wadau kwe issue ya corruption? mengi yapo ila coup kwa KSA ni issue aisee tena kipnd hiki ambacvho jamaa kapitisha fagio la ukweli ameweka watu wake tu kila angle kama edorgan alivyofanya mambo yakeKuna vitu wanaficha hawa, kuna vuguvugu mle. ebu pitia hii habari kutoka Mirror la Uingereza.
====
Tonight's flashpoint in Riyadh came two days after a reported shooting in which Saudi security officers were shot dead.
On Thursday, four members of Saudi Arabia's security forces were killed and four others wounded in clashes with gunmen on Thursday at a checkpoint in the southwestern Asir province, Saudi-owned Al Arabiya TV said.
One gunman was killed and two detained, the broadcaster said on Twitter, citing the Saudi interior ministry, without providing more details.
Asir province borders Yemen, where a Saudi-led coalition is battling the armed Houthi group, but it was not immediately clear if the incident was related to that three-year-old war.
hahahahahaHakuna Harufu Yoyote labda Prince Salman Anakaanga Vitumbua....
ipo RT tuMSM media kimya..hakuna wanaogusia....si aljazeera, BBC, CCN, etc.! hii kitu sijui imekaaje?
Azamhivi kwa hapa bongo king'amuzi gani kinaonyesha station ya RT
imeandikwaje mkuu maana natumia azam lakini sijawahi kuiona humo hii chanel ya RTAzam
Pro Russia washakuwa kama fisi kusubiria mkono wa Binadamu uanguke.Drone shot down outside Saudi Arabia palace sparks coup fears | Daily Mail Online
naona pro irani/russia walishaanza kushangilia..anyway now hata russia today now wameshabadilisha nakusema ni drone ndo ilioleta hio panic
Drone triggers gunfire outside royal palace in Riyadh (VIDEOS)
Kuna kitu kinafichwaDrone shot down outside Saudi Arabia palace sparks coup fears | Daily Mail Online
naona pro irani/russia walishaanza kushangilia..anyway now hata russia today now wameshabadilisha nakusema ni drone ndo ilioleta hio panic
Drone triggers gunfire outside royal palace in Riyadh (VIDEOS)
inawezekana piaKuna kitu kinafichwa
Ukisikiliza Milio ya Risasi nakama kulikuwa na majibizano
Hahahaha hahahaha kazi kweli kweli!Hakuna Harufu Yoyote labda Prince Salman Anakaanga Vitumbua....
channel namba ngapi mkuuAzam
Tukio hili lingetokea nchi kama Iran,Syria au Korea wiki nzima tungetangaziwa habari hizo 24x7 kuhusu ubaya wa regimes tajwa,lakini kwa kuwa kibaraka wao katingishwa wamekaa kimya huku wakiendeleza propagabdaa zao dhidi ya Putin na Urusi.MSM media kimya..hakuna wanaogusia....si aljazeera, BBC, CCN, etc.! hii kitu sijui imekaaje?