Recent content by Wangu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kama ungekuwa wewe ungemsaidiaje?

    Mchungaji alikuwa anawafundisha vijana somo la upendo na kusisitiza "PENDANENI KAMA MUNGU ANAVYOTUPENDA". Baada ya mwezi mmoja, kijana mmoja akamwendea Mchungaji na kumwambia, "MCHUNGAJI, SOMO LAKO LILIELEWEKA, NILIMPENDA MSICHANA MMOJA, AMEPATA MIMBA, SASA NIFANYAJE?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa lugha msaidie babu yenu.

    "FATHER, WHICH POSITION AM I ON BIRTH SEQUENCE IN Our family?"
  3. W

    JamiiForums Tanzania Malizia sentensi hii uonavyo...

    Wakatoka chumbani uchi na kukimbia!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Bunge hili tukufu

    Mheshimiwa Spika, naomba tufuate utaratibu tafadhali. Hoja haiwezi kurukwa bila kujua tunafuata mwongozo gani. Vinginevyo tupige kura tuone wangapi wanaafiki!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoagiza magari kutoka Japan kuweni makini!

    Poa ndugu, wengine tayari tunasubiri mzigo
  6. W

    JamiiForums Tanzania Harambee.

    Kiherehere cha Shetani!!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi

    mzee hii kali kweli, hata mimi siwezi kumchangia!!!
  8. W

    JamiiForums Tanzania Masopu sopu ya Hausigeli.

    Msichana wa kazi kujipenda ni vema sana. Isitoshe unapokuwa na msichana kama huyu unauhakika wa kuwa salama kiusafi ndani ya nyumba na ubora wa chakula. Ni vema tukajali pia haki za binadamu kwa kutowanyanyasa wafanyakazi wa ndani na pia wanaume tujitahidi tusiwake tamaa kwa msichana wa kazi...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio viongozi bora!

    Ndio maana Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kutokwa na machozi siku azimio la Arusha lilipovunjwa kule Zanzibar hasa ilke misingi yake, kwamba ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. BADO HATUJAPATA VIONGOZI BORA. waliopo ni BORA VIONGOZI!
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ama kweli hujafa hujaumbika-warning look at your own risk

    Tuombe sana Mungu atuepushe na mabalaa!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Iringa

    kula ka-mbwa
  12. W

    JamiiForums Tanzania Iringa

    Kula ka-mbwa
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nenda ukauzime mshumaa!

    Bwana mmoja na mkewe waliishi miaka mingi bila kupata mtoto. Walifanya kila waliloweza, hospitalini, waganga, washauri, lakini bila mafanikio. Hatimaye baada ya kushauriwa na mtu wao wa karibu kwamba waende kanisani kuombewa, wakaenda. Wakamkuta padri na kumweleza shida yao. Padri akawaambia...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Nimejiunga!!

    Wapendwa, naomba mnipokee, nimejiunga katika nyanja hii.
Back
Top Bottom