Ama kweli hujafa hujaumbika-warning look at your own risk

Ama kweli hujafa hujaumbika-warning look at your own risk

DAH Hii jamani sidhani kama alipona na hata kama alipona basi ana mateso makubwa sana
 
Hii ni wapi? ni Somalia au yaliyofichwa Arusha
 
huu mwili huu,unabadilika within a second ndo hapo dunia inapokuwa chungu...God help us
 
O.M.G.........hii inatisha kwa kweli, sijui alipona!!!
 
Back
Top Bottom