Bunge hili tukufu

Hivi mnajadili nini jamani, nilikuwa nimelala...ooops, sorry nilikuwa nafanya maombi!
 
Hivi mnajadili nini jamani, nilikuwa nimelala...ooops, sorry nilikuwa nafanya maombi!

oh karibu mheshimiwa mbunge. Natumai usingizi ulikuwa mzur oops maombi yalikuwa mazur. Tumejadili mambo kadhaa kwa sasa tunawasubiri mawazir waje kujibu maswali
 
mh.waziri wa mambo ya udini mila na utamduni jibu hoja kwanza kuhusu kuonekana hirizi mjengoni ya pili kuhusu mh.nanii binti yake nanii hii anaingiliwa uhuru wake wa kiutoto,yani wanamuwahisha kucheza ubaba na mama.majibu tafwadhali
 
Mheshimiwa Spika, naomba tufuate utaratibu tafadhali. Hoja haiwezi kurukwa bila kujua tunafuata mwongozo gani. Vinginevyo tupige kura tuone wangapi wanaafiki!
 
Waheshimiwa wabunge nawashukuru kwa hoja zenu, kwa sasa bunge hili tukufu litaahirishwa mpaka further notice.
 
Muheshimiwa sana mkuu mwandamizi Spika,nina hoja binafsi! Bunge lako tukutu likianza naomba nitoe hoja yangu!
 
Mh.... Naomba tafadhali nipunguzie mia 5 nilipie deni la tigo aisee sikopi tena. Af chek hii text ya mh......,hahaha ngoja nimfowadie na mh...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom