Recent content by wangi70

  1. W

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    ila hii blaza umeandika PUMBA kubwa sana..yani ndo kitu cha kuogopa hicho? kwa hiyo hata hao polisi na wanajeshi wakikiuka miiko ya kazi wasiwajibishwe kwa sababu tunaogopa wakija mtaani watakuwa majangili? ujambazi na uwizi ni asili ya mtu na wala haina uhusiano na kuwa na ujuzi wa...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    du unaweza usioe
  3. W

    JamiiForums Tanzania Shemeji yetu kwa Flora Mbasha huyu hapa

    mh huyu dogo nae kajitoa mhanga..c agekuwa anamega tu kiaina kwan lazma uoe kabisa limaza hilo lishapuyanga maisha hukooo ndo uzee lije limalizie mwilini mwako..kazi sana
  4. W

    JamiiForums Tanzania Shemeji yetu kwa Flora Mbasha huyu hapa

    kweli kabisa. what goes around comes back around
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mpenzi wake anavuta sigara

    FEGI MBONA KAWAIDA TU MTU KIBAO ZINAVUTA. HAKUNA ALIE PERFECT KILA MTU NA MAPUNGUFU YAKE..KILA ANAEMCHUNGUZA ATAKUTA ANA TATIZO..UNAEZA KIMBIA FEGI UKAKUTA JANGA LINGINE KUBWA ZAIDI..AMSAHURI TU AACHE KUMWACHA SO ISHU..HAKUNA ALIE MSAFI DUNIA HII..KATIKA MAHUSIANO UAMINIFU NDO KITU CHA MSINGI...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    of coz kuna cha kuuliza hapo...the fact that nape aliside na waandishi imemcost..
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba arejea Dar na tuzo ya MTV, HamoRapa ajitokeza kumpokea airport

    mbona wa kawaida tu.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba arejea Dar na tuzo ya MTV, HamoRapa ajitokeza kumpokea airport

    inaskitisha sana. the guy sjui kawakosea nini?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba arejea Dar na tuzo ya MTV, HamoRapa ajitokeza kumpokea airport

    choko? kakukosea nini hadi unamtukana hivo?
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Napendwa na wasichana mpaka kero

    waza mambo ya maana.myaka 27 sio mtoto wewe unawaza vitu vya kipuuzi.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sheikh Katimba: Makonda achunguzwe

    sawa kabisa mkuu wangu
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejikuta tu nikiwaonea gere majini mahaba maana wanafaidi sana

    inatakiwa uangalie roho yako kwa makini sana ndugu yangu mana inaonekana ngono inaongoza akili yako hadi unatamani uwe jini.. mwombe sana mwenyez mana wazungu wanasema be careful with what u wish for
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    god idea but kama watu wanaonewa waache wafungue kesi kudai haki zao.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kufanya maamuzi ya kielimu

    jeshi ndo wanataka tu d.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Serikali kupiga Marufuku Matumizi ya Pombe za VIROBA Kufikia Mwezi wa Sita mwaka 2017

    hapana kwa kweli..viroba watu wanavifata bkoz ni cheap. but content ni ile ile ya konyagi
Back
Top Bottom