Naomba ushauri wa kufanya maamuzi ya kielimu

789

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
262
203
Poleni na majukumu wakuu
Nina div 4 ya 26, shule moja ya private imenikubali kusoma uku na resit kuitafuta c 1, Lakin Pia Nime vutiwa na hii course yA community health Napenda kusomea afya japo siku Soma masomo yA sayansi kutokana na shule yenyewe umefika wakati wa mimi kutoa maamuzi yatakayo nisaidia mbele yA safari najua Nikienda ADVANCE ntasoma HKL Wakuu naombeni ushAuri wenu..
 
kama unataka advance katafute credit kwanza Hamna kitu kama preform v. wanacho lega kwako ni ada yako tu.
 
Kisw c
Eng c
Bio d
Hist d
Civ d
Math d
Geo d
 
Kama kuna shule wameisha kukubalia nenda kasome hkl achana na hayo mengine naamini utafanikiwa nakushauri njoo uombe shule ya kanyigo sec iko bukoba itakusaidia koro yake ni ndogo
 
Bei gani Ada yake?
 
Kwann nisiweze Mkuu
Nakushauri, Jitahidi uingie huko. Sababu zangu ni,

- Kusoma Nje-Ndani ni changamoto kubwa, ila kwakuwa unakotaka kwenda ni shule private, wafanyabiashara hawawezi kukuambia

- Je, ikitokea umelipa ada na umeshindwa ku CLEAR itakuwaje, kumbuka hapo ushalipa Ada - Mbili miaka Miwili.

- Hata kama ukifanikiwa kuipata C na kufanya HKL ukaenda chuo, ( Ingawa sijajua DIV FOUR ni halali yako au Mazingira ya nyumbani na shuleni yamekutengezea, au hukuwa "Serious" Kama ni halali yako basi kuna uwezekano pia Advanced level mambo yasiwe mazuri ) bado ukihitimu utasotea sana ajira kama siyo kukosa - Ajira kubwa ya HKL ilikuwa ni Education ingawa ishaanza kuwa majanga kwa sasa !

- Lakini ukiwa Jeshini, ingawa ni kazi ngumu na ya ubusy - Unaweza kujisomea na kusoma kozi ya kitaaluma ukiwa jeshini
 
Nimekupata Mkuu sasa sijui wanaanzaga kachukua Watu mwezi wa ngapi?
 
Wakitoa tu nafasi utaziona hapa hapa wadau wengine huwa wanasubiria - Sema kama unaweza kupata mtu aliyekutangulia huko akakupa ramani, Majeshi yote siku hizi wanapitia JKT - Ni mlango. Unapiga miaka miwili then ndo mnaajiriwa kutokea huko
 
Wewe kwanza resist ndo uwende advance ila kwa ufaulu huo ata ukiwa huku unaenda advance ninatumain utafaulu pia au nenda coz za business kama March in take
 
Kwaiyo unashauri ni resit kwanza au
 
Back
Top Bottom