Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,266
Yule jamaa ukimsikiliza utajua tu kuwa anaelimu ya kutiliwa shaka. siyo ya kusoma hasa na kufaulu. Shida ya nchi hii hatua zinachukuliwa haraka ikiwa ni kiongozi wa uponzani. Kuna mtu walikuwa wahoji udokta wake hata haijulikani waliokuwa wanahoji wako wapiNa vyeti vyake pia vihakikiwe.watu wametumbuliwa kisa vyeti feki.yeye mbona hajitokezi kujisafisha..Ndalichako nayeye hizi sauti hazisikii??