Game ya leo haina sababu ya kushinda, ukitizama topic za nyuma utaona nini nilisema, game ya leo inaonesha uhalisia wa tatizo
Eze Hana sababu ya kuwa bench, Partey hakuna sababu ya kumuacha aondoke Zubimendi hawezi kucopy work rate ya UK as starter
Niliwahi kusema Arteta Hana tactics za ushindi...
Nina wasiwasi na Arteta na ubaguzi wa wachezaji kutoka Africa
Yeye na Guadiola wana ubaguzi na wachezaji wa Africa
Zubimendi hawezi kuwa replacement ya Partey halafu forward butu sana hakuna shoot na ni uchezaji wa Spain sio UK
Kwa sasa hivi Arsenal warudi kwa Mourinho ndio nafasi ya kupata...
Arsenal kupata ubingwa ni 50/50
Kosa kubwa Lao ni kumuacha Partey kuondoka,
Rice hawezi kupanda na kukaa juu, hakuna mlinzi wa kulinda defense
Zubimendi bado kuweza kuhimili ugumu wa premier league
Kwa team iliyopo amekosekana Partey kukamilisha team
Either Arteta au uongozi haupendi...
Magalhae Gabriel ni liability kwa Arsenal,
Against Man City yeye alikuwa ndio sababu ya goli na leo ndio kaguswa kajiangusha, mchezaji mzuri lakini mzembe kwenye kazi
Arsenal wamekubali kufungwa tayari,
1) huwezi kubadilisha team ya ushindi
2) Madueke alikuwa anazuia watu wawili tayari, Doku yupo free
3) Saliba hakuwa na sababu ya kuanza kwenye game hii
Nipo tayari kukosolewa
Siku hizi sio Mimi mchangiaji kwenye hili jukwaa lakini nitatoa maoni yangu kwa hii timu
Kosa la Arsenal ni kumuacha Partey aondoke, hili linaweza kuwakosesha makombe
Pili, huwezi kupata rhythm ya mchezo kwa kubadilisha midfielder kwa midfielder
Kukosa uoni wa kutafuta striker
Umakini wa...
Sh Mohamed
Leo tena umenikumbusha miaka mingi iliyopita, Zahir ninaikumbuka lakini haikuwa katika sehemu za matembezi yangu
Nategemea sana utaikumbuka Ala-kefak (sijui kama jina nimeliandika sawasawa) iliyokuwa Kariakoo, wakati wa jioni tukienda kula bokoboko
Ahsante sana
Salaam Sh Mohamed,
Hakika msiba mkubwa umetufika, tupeane pole na kubwa ni kumuombea maghfira na Mwenyeezi Mungu amsamehe makosa yake.
Nilipopata taarifa kuwa Sh Ahmed Rajab amefariki basi mwanzo nilitazama kwenye ukurasa wa Jamii Forum kama hii taarifa ya Kweli, sikuona taarifa nikatia shaka...
Njia nyepesi ya kuifanya Arsenal kupiga hatua ni mashabiki kugoma kwenda uwanjani
Hii itawafanya kubadili muelekeo vyenginevyo itakuwa habari ya kujirudia kila mwaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.