HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
😀 😀 😀 hapana bwana. Hata yule aliyepigwa enzi zile haikuwa kwa sababu ya kujifunga bali kwa sababu ya madawa ya kulevya.Colombia vichezaji vijinga kama hiki, vinapigwa risasi
😀 😀 😀 hapana bwana. Hata yule aliyepigwa enzi zile haikuwa kwa sababu ya kujifunga bali kwa sababu ya madawa ya kulevya.Colombia vichezaji vijinga kama hiki, vinapigwa risasi
Nilihisi hivyo pianilishindwa kushangilia nikisubiri waseme Havertz amegusa ule mpira na alikuwa offside
We jamaa wewe!RED CAAAAARD
Pambaf zenu. Na leo mnakalia mti tena.
tulivyo na bahati mbaya hata nisingeshangaaNilihisi hivyo pia
Hii game ilipaswa mapema tu tuimalize.tulivyo na bahati mbaya hata nisingeshangaa
kweli kabisa. Havertz anazingua kwa kweli.Hii game ilipaswa mapema tu tuimalize.