Sielewi hapa labda wana wakondoo watanitoa shaka, maswali yangu ni haya, ni mungu kafa kwa kusulubiwa, maana kashindwa kujihami, kama kafa mungu gani kabaki? huyu mungu aliyebaki, je? anfaurahishwa na kumuona mungu mwenzie alieuawa kawa kigezo cha picha ya kuteswa msalabani inaanikwa, badala ya...