Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Bado dakika kama 10 hivi, ila inavyoelekea Yanga wanaweza kufanya lolote endapo Simba hawajaongeza goli
 
Pole mkuu, ndio ukubwa huo punguza hasira

Sina hasira mkuu,nilishajiandaa kisaikolojia(lol) kuyapokea matokeo haya,maana najua timu yetu mwaka huu ni BOMU kabisa mbele ya Simba...Anyways HONGERENI sana kwa kandanda safi mnayoionesha
 
Sina hasira mkuu,nilishajiandaa kisaikolojia(lol) kuyapokea matokeo haya,maana najua timu yetu mwaka huu ni BOMU kabisa mbele ya Simba...Anyways HONGERENI sana kwa kandanda safi mnayoionesha

Mpira dakika 90 kaka
 
Mie nimepaki gari mahala nasikiliza mpira ilinijue nitaondoka na speed gani baada ya kipenga cha mwisho.

Ila yanga wamefulia, na huyo refa wao ndo wamemuharibia career yake kwania atafungiwa na kamati ya TFF kwania anaonesha kuwabeba sana akina Manji.
 
Simba ni wazuri sana mwaka huu na wanacheza vizuri sana,Yanga wao bure kabisa,wamelewa sifa mnoo so kichapo kwa Yanga ni lazima(nilitegemea hivo na wala sishangai mnyama kutukandamiza leo)..Big up Simba kwa kandanda safi mnayoionesha,Yanga ubingwa mwaka huu tuusahau kabisaaaa,maana Timu yetu ni MBOVU sana..

ingekuwa kwenye siasa tungeita huu ni ukomavu, nasubiri Fidel80 aje akili kama wewe kwamba mlishingwa kwa sababu mlikimbilia quarter professionals maana hata siyo semi pros.
 
Mpira wetu TANZANIA bado maana bado mpira ndio unawapelesha wachezaji si wachezaji kuamua mpira uende wapi.NDIO MAANA UTAONA WACHEZAJI WA YANGA NA SIMBA WANARUNDIKANA MAHALI MPIRA ULIPO.SIJUI TUFANYAJE WANA JF?
 
wakuu natoka mtandaoni namwahi kidosho wangu mahala fulani ila aminia kwamba jamaa tunawabonyeza kizenji mpaka wakome.

Hehehehehe!! Yanga WAMEFULIA.
 
Mpira wetu TANZANIA bado maana bado mpira ndio unawapelesha wachezaji si wachezaji kuamua mpira uende wapi.NDIO MAANA UTAONA WACHEZAJI WA YANGA NA SIMBA WANARUNDIKANA MAHALI MPIRA ULIPO.SIJUI TUFANYAJE WANA JF?
Utakuwa Yanga wewe!
 
....duuuuh,

Mnyama kamtafuna mtu leo? aaaa ha ahaaaa!
SAAAAAFI SANAAAAAA!....

SIMBA TAIFA KUBWA!!!
 
Back
Top Bottom