Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Acheni mahaba bwana...wafundisheni wachezaji wenu nidhamu badala ya kuanza kulia na refa..Yaani mchezaji amtukane Refa amuangalie tuuuuuuu
 
Wakuu msione kimya,

Yanga wanaonekana kuamka lakini ndo hivyo, bado tunawashambulia teh teh teh
 
Imepigwa kona kuelekea Yanga na haikuzaa matunda. Faulo inapigwa kwenda Yanga, si mbali sana na lango la Yanga
 
Simba ni wazuri sana mwaka huu na wanacheza vizuri sana,Yanga wao bure kabisa,wamelewa sifa mnoo so kichapo kwa Yanga ni lazima(nilitegemea hivo na wala sishangai mnyama kutukandamiza leo)..Big up Simba kwa kandanda safi mnayoionesha,Yanga ubingwa mwaka huu tuusahau kabisaaaa,maana Timu yetu ni MBOVU sana..
 
Yanga wanashambulia sasa.... Lakini wanaishia kukimbia bila kuangalia goli lilipo teh teh teh
 
Back
Top Bottom