Maskini hawezi kumsaidia maskini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini hawezi kumsaidia maskini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tumain, Dec 2, 2009.

 1. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Historia inaonyesha kuwa watu maskini badala ya kusaidiana mara nyingi hupoteza muda kuchukiana, kutengana na kuharibiana, badala kushirikiana etc? mfano maskini mwizi atapigwa na maskini wezanke mpaka kuuliwa, lakini hao maskini si rahisi kumchukia tajiri mwizi waungane wampige..utakuta rupia zinapitishwa maskini wanagawanyika wanachukiana wao kwao...

  Viongozi wazuri wanatakiwa wawe matajiri kwanza kabla, maana maskini akipata cheo hakumbuki maskini, akipata utajiri hudharau maskini wenzake wa zamani.

  Maskini akiwa kiongozi ni vigumu kufanya uadilifu mia kwa mia, anakuwa na vikwazo na vishawishi vingi..vya kutumia mali ya umma kwa faida yake mwenyewe.
  Conclusion: Tutafute kiongozi tajiri muadilifu atasaidia maskini, lakini maskini muadilifu leo huwezi ku-garantee uadilifu wake baada ya kupata cheo.
   
 2. w

  wan Member

  #2
  Dec 2, 2009
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kifupi,Masikini akipata ****** hulia mbwata
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Maskini akipata mwepesi kusahau maskini wenzake? kwanini
   
 4. m

  madule Senior Member

  #4
  Dec 3, 2009
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa sababu anafukia mashimo ya umasikini aliolimbikiza kwa muda mrefu na katika ukoo woote.:rolleyes:
   
 5. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo kni nadra sana kupata maskini muadilifu kuwa kiongozi?
   
 6. c

  compressor Member

  #6
  Dec 3, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli masikinihana thamani,maana sasa sifa zote anapewa tajiri,leo hii katika swala la kiongozi bora kipato cha mtu nacho kinakuwa ni kigezo
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Dec 3, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  misaada huambatana na kejeli na dharau. Tumaini tusikaribishe wala kupenda misaada, daima hakuna cha bure....tutengeneze mfumo maridhawa wauzalishaji hakika tutajitegeme\a na tutasonga mbele.
  leo JK kaenda kuomba msaada Jamaica, jamani sini matusi haya.
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  ubongo wake una memori kadi ya kichina.
   
Loading...