Recent content by Wamizigo

  1. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba mnisaidie katika hili Nimelipia Gharama za kuunganishiwa umeme kwa Gharama ya Tsh 377.772,toka mwezi wa 8 mwaka huu, kila nikifuatilia naambiwa nguzo hazipo, juzi nimekwenda nimeambiwa nguzo zimefika ila mita ndo tatizo, sasa hadi inakera kufuatilia kila siku halafu ni taasisi (nyumba ya...
  2. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Nilikuwa nagombana na mtumishi mwenzangu yeye ajahamishwa kituo ila mimi nimepelekwa kijijini

    Wote tuliomba shule zingine tofauti na pale tulipokwepo ndo tulivyoambiwa
  3. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Nilikuwa nagombana na mtumishi mwenzangu yeye ajahamishwa kituo ila mimi nimepelekwa kijijini

    Habari wana jf?, Mimi ni mtumishi (mshika chaki) kuna mtumishi mwenzangu tumezinguana nae kutokana na tabia zake za ajabu, hasa za kunisema vibaya mbele za wanafunzi, huku yeye akijikweza. Kutokana na kuzinguana huko, taarifa zilifika kwa afisa elimu, na afisa akadai kuwa tuandike barua za...
  4. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya starehe Mwanza ni ipi?

    Rock city mooooo
  5. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Saiv pamependeza kiasi flani, barabara za mitaa kuna lami
  6. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Ipole primary school - sikonge Tabora
  7. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Ipole primary school
  8. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Karibuni Tabora asali inakotokea

    Ipole getini pale pale
  9. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Karibuni Tabora asali inakotokea

    Daaah, Mi mnyamwez wa Ipole
  10. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Documents zangu kwenye Flash hazifunguki

    Hao ni virus watakuwa wametafuna hizo documents
  11. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Kampeni Maalumu Ya Kujenga Uzalendo Nchini Kuzinduliwa Dodoma Tarehe 8/12/2017

    Well said, nmependa hoja zako
  12. Wamizigo

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa punguza kubana, umebana hadi miembe haijazaa mwaka huu

    Mi hata kumpa mimba mke wangu imeshindikana since 2015, nmejaribu lakin nmeambulia patupu, lakin before 2015,ilikuwa kugusa tu kitu,hatar sana labda 2025
Back
Top Bottom