Bila shaka umesoma Mbirani Primary School.
Kasie mizimu lazima niite nikutambulishe wakujue, utembeapo wawe na wewe, wakurunde, wakusaidie. Vumilia hivo hivo ata km huzipendi ngoma zetu lkn ndio kwetu mupenzi wangu.
Asante my dear. Na wewe ulale unono. Olote jiloti visoga....
Nakotogwile sn mkima wane ewe...
Mbirani kwa Mwalimu Borafya.... Mpiga solo wa Sukasuka Jazz Band. Akina Mwalimu Katakula, Mwalimu Nyanza etc.
Mie nilikuwa Misheni kwa akina Mwalimu Katala. Mzee anacharaza hadi unajihurumia 🙁
ila tulikua tuna wafunga sana mkuu yaani mlikua vibonde wetu ki_ soka ila walimu wenu walikua wakali sana.Ile ID yako ya Zaman huitumii?
Kasinde
As long as I want you, usijali mizimu ntaiweka pembeni coz I don't want to lose youMie mnyamwezi ila mizimu sitaki, ukiileta nakukimbia. Hao waachie machief wa Isike....
Mbona nakuonaga kwenye matambiko Itetemia na Nsyepa?.Mie mnyamwezi ila mizimu sitaki, ukiileta nakukimbia. Hao waachie machief wa Isike....
Uje na Nfulu na Ntalali na mantonga na mbuguswa na ndati na magongoti na misalasi na Zambarau na mapera hahahaaaa Kasie wangu upo eeeehNgoja nikale Matobolwa Wajamani Nilale. Kesho nakwenda kulima Mpande.
Muda ukifika inabidi akina Mama waimbe huku wanaSOKOLA Mpande.
Usiku mwaka
Mzigo mzito ........ ?Daaah, Mi mnyamwez wa Ipole
Chabutwa au kikungu au Ipole getiniDaaah, Mi mnyamwez wa Ipole
Yaani.... I'm read to do whatever you sayHapo sawa hahahahahahaa.