Hahahaaa na Malolo.....Mbona nakuonaga kwenye matambiko Itetemia na Nsyepa?.
Ahahaaa
Wawona sasa.... Ntalali vihe....Hehehehe umenikumbusha mantonga looh siku nyingii. Na mahama pia nilikuwa nayapenda sana.
Ipole getini pale paleChabutwa au kikungu au Ipole getini
Great. Kuna mzee mmoja ni marehemu alikua anaitwa Dima Ng'olongo unamkumbuka?Ipole getini pale pale
Sawa Sengiwane...Tangu niko mdogo sikupenda hizo makitu, huyo unayemuonaga sio Kasinde atakuwa Kalunde.
Great. Kuna mzee mmoja ni marehemu alikua anaitwa Dima Ng'olongo unamkumbuka?
Dah nilipita hapo mpk Koga darajani hapo mtoni nikaingia mpk katavi kwa Baiskeri hahahaaa Kasie wangu eeeh hayo maeneo Tembo kibao na simba
Sengiyo mlozi mwenoyo hahaha Kasie nsamehe nakutania tuSawa Sengiwane...
HahahahaaaaWewe mpaka nahisi utakuwa ndugu yangu, hayo maeneo yote nilipita miaka hiyo na wazazi wangu.
Nilikula sana samaki wa mto Koga pale. Enzi zile barabara mbovu kutoka Tabora mjini hadi kijijini tunapanda Lori daah..... mnafika mahali mnashuka wanaume wanasukuma gari linakuwa limekwama kwenye michanga.
My usinune jamani. Ntakupa Ntoga nzuri uleWee haya ngoja ninune. ...
Hiviii nyuki kazi yake ni kuyafanyia "pollination" maua kwa maana nyingine yeye ndiye ANAKATA UTEPE! hiviii huo uchafu wa NICOTINE unakujaje kujaje wakati kazi ya nyuki ni kukata UTEPE kwenye UA ambalo bado halijatusuliwa? Ingekuwa ni Majani au Magome ya mti wa Tumbaku sawa!
Au asali hii yenye NICOTINE ni Tabora ileeee ya OXYGEN na WHATSAPP!
Duhh, pale kwa Le Professor!Tabora sehem gani?!
Kijijini kwetu ilolanguru
Hivi naomba kuuliza....Hiviii nyuki kazi yake ni kuyafanyia "pollination" maua kwa maana nyingine yeye ndiye ANAKATA UTEPE! hiviii huo uchafu wa NICOTINE unakujaje kujaje wakati kazi ya nyuki ni kukata UTEPE kwenye UA ambalo bado halijatusuliwa? Ingekuwa ni Majani au Magome ya mti wa Tumbaku sawa!
Au asali hii yenye NICOTINE ni Tabora ileeee ya OXYGEN na WHATSAPP!
Hahahahaaaa
Kasie ata km nikiwa nduguyo tutatoa ng'ombe za masumule.
BTW, samaki ni wengi sn wakati wake hiyo mitaa Ya Koga. Kutoka Ipole pale ndio kulikua na michanga ktk Kapoli Fulani hivi. Barabara zilikua mbovu basi likipita asubuhi ni mpk kesho tena. Hiyo mitaa unaingia mpk Inyonga
Nyama za polini kibao wakati huo