Bibie Nyamagembe, pole kwa yanayokutatiza na hongera hata kwa kuwa naye huyo ambaye wewe unamuona ni bwana mdogo wako.
Kiukweli wanawake wengi wangependa kuwa na wanaume/wapenzi wanaowazidi (ki-umri, kimo, ki-elimu, kipato etc), kinyume chake na wanaume wengi wangependa kuwa na wake/wapenzi...