PAULO CHIBUGA
Member
- Apr 18, 2013
- 38
- 5
Habari za uhakika nillizopata ni kuwa wanachuo wa UDSM wanaochukua masters -degree ya 2,wamefukuzwa na kuna uwezekano chuo kikafungwa,nimeongea na baadhi yao wanasema tatizo hawajamalizia karo na wameomba uongozi uwaruhuhsu hadi kabla ya UE ila wamekataa,je tunaelekea wapi?hiki chuo si ni cha serikali na kuna kodi inakatwa na serikali kwa ajili ya kuongoza chuo!iweje chuo kifungwe wakati vijana wameahidi watamaliza karo ndani ya miezi 2,TUNAELEKEA WAPI?