Tamko la Shura ya Maimamu Tanzania

Tamko la Shura ya Maimamu Tanzania

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI

​
[TABLE="class: wsite-multicol-table, width: 2008"]
[TR="class: wsite-multicol-tr"]
[TD="class: wsite-multicol-col"]

AGOSTI 10, 2013.
​
[/TD]
[TD="class: wsite-multicol-col"]
JESHI LA POLISI TANZANIA
DAR ES SALAAM
​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

1. MNAMO TAREHE 10, AGOSTI ,2013 MAJIRA YA SAA 8 MCHANA, MAENEO YA SHULE YA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE MANISPAA YA MOROGORO, KULIFANYIKA KONGAMANO LA BARAZA LA EID LILILOANDALIWA NA UMOJA WA WAHADHILI MKOANI MOROGORO. DAKIKA KUMI KABLA YA KONGAMANO HILO KUMALIZIKA ALIFIKA SHEKHE PONDA ISSA PONDA AMBAYE ALIZUNGUMZA KWA MUDA MFUPI.

2. KONGAMANO HILO LILIFUNGWA MAJIRA YA SAA 12:05 JIONI AMBAPO WATU WALIANZA KUTAWANYIKA, BAADHI YAO WAKIWA WAMEZINGIRA GARI DOGO ALILOKUWA AMEPANDA SHEKHE PONDA. BAADA YA KUTOKA KATIKA ENEO HILO, ASKARI WA JESHI LA POLISI WALIZUIA GARI HILO KWA MBELE KWA NIA YA KUTAKA

KUMKAMATA SHEKHE PONDA AMBAYE MPAKA SASA ANATUHUMIWA KWA KOSA LA KUTOA MANENO YA UCHOCHEZI SEHEMU MBALIMBALI HAPA NCHINI YENYE MLENGO WA KUSABABISHA UVUNJIVU WA AMANI.

3. BAAADA YA ASKARI KUTAKA KUMKAMATA, WAFUASI WAKE WALIZUIA UKAMATAJI HUO KWA KUWARUSHIA MAWE ASKARI. KUFUATIA PURUKUSHANI HIYO, ASKARI WALIPIGA RISASI HEWANI KAMA ONYO LA KUWATAWANYA.

4. KATIKA VURUGU HIZO, WAFUASI HAO WALIFANIKIWA KUMTOROSHA MTUHUMIWA. HIVI SASA IMETHIBITIKA KUWA SHEKHE PONDA YUKO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI AKITIBIWA JERAHA KATIKA BEGA LA MKONO WA KULIA LINALODAIWA ALILIPATA KATIKA PURUKUSHANI HIZO.

5. KUFUATIA TUKIO HILO, TIMU INAYOSHIRIKISHA WAJUMBE KUTOKA JUKWAA LA HAKI JINAI IKIONGOZWA NA KAMISHINA WA JESHI LA POLISI CP ISSAYA MNGULU IMEANZA KUFANYA UCHUNGUZI WA TUKIO HILO.

6. AIDHA, JESHI LA POLISI LINATOA WITO KWA WANANCHI KUWA WATULIVU WAKATI SUALA HILI LINASHUGHULIKIWA KISHERIA.

Imetolewa na:-
Advera Senso- SSP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.​

Hahahaaa... Eti "Timu ya Haki Jinai"... Hivi Isaya Mngulu ameacha kuchunguza ile ya bomu Soweto?!!!! Au anaunganisha na hii kwa kuwa wahusika ni hao hao CDM?!!!
 
Umeambiwa Usifanye hiki, Ukaamua kukaidi, utapigwa tu... Hamna namna nyingine, Maana WOTE TUKUBALIANE KWAMBA NCHI HII TUNAIENDESHA KWA MISINGI YA KISHERIA.Sasa kama wewe umekaidi, Hutaki unaona kwamba ni imara zaidi... wewe ndiyo jeuri zaidi watakupiga tu.... Mimi nasema muwapige tu, Kwa sababu hakuna namna nyingine... Maana tumechoka.

Waliojaribu kuipinga hii kauli mmewaambia wanatumiwa na wanasiasa, sasa mnalalamika nini tena. Na bado! huenda tunaona mambo mengi sana safari hii
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI

​
[TABLE="class: wsite-multicol-table, width: 2008"]
[TR="class: wsite-multicol-tr"]
[TD="class: wsite-multicol-col"]

AGOSTI 10, 2013.
​
[/TD]
[TD="class: wsite-multicol-col"]
JESHI LA POLISI TANZANIA
DAR ES SALAAM
​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

1. MNAMO TAREHE 10, AGOSTI ,2013 MAJIRA YA SAA 8 MCHANA, MAENEO YA SHULE YA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE MANISPAA YA MOROGORO, KULIFANYIKA KONGAMANO LA BARAZA LA EID LILILOANDALIWA NA UMOJA WA WAHADHILI MKOANI MOROGORO. DAKIKA KUMI KABLA YA KONGAMANO HILO KUMALIZIKA ALIFIKA SHEKHE PONDA ISSA PONDA AMBAYE ALIZUNGUMZA KWA MUDA MFUPI.

2. KONGAMANO HILO LILIFUNGWA MAJIRA YA SAA 12:05 JIONI AMBAPO WATU WALIANZA KUTAWANYIKA, BAADHI YAO WAKIWA WAMEZINGIRA GARI DOGO ALILOKUWA AMEPANDA SHEKHE PONDA. BAADA YA KUTOKA KATIKA ENEO HILO, ASKARI WA JESHI LA POLISI WALIZUIA GARI HILO KWA MBELE KWA NIA YA KUTAKA

KUMKAMATA SHEKHE PONDA AMBAYE MPAKA SASA ANATUHUMIWA KWA KOSA LA KUTOA MANENO YA UCHOCHEZI SEHEMU MBALIMBALI HAPA NCHINI YENYE MLENGO WA KUSABABISHA UVUNJIVU WA AMANI.

3. BAAADA YA ASKARI KUTAKA KUMKAMATA, WAFUASI WAKE WALIZUIA UKAMATAJI HUO KWA KUWARUSHIA MAWE ASKARI. KUFUATIA PURUKUSHANI HIYO, ASKARI WALIPIGA RISASI HEWANI KAMA ONYO LA KUWATAWANYA.

4. KATIKA VURUGU HIZO, WAFUASI HAO WALIFANIKIWA KUMTOROSHA MTUHUMIWA. HIVI SASA IMETHIBITIKA KUWA SHEKHE PONDA YUKO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI AKITIBIWA JERAHA KATIKA BEGA LA MKONO WA KULIA LINALODAIWA ALILIPATA KATIKA PURUKUSHANI HIZO.

5. KUFUATIA TUKIO HILO, TIMU INAYOSHIRIKISHA WAJUMBE KUTOKA JUKWAA LA HAKI JINAI IKIONGOZWA NA KAMISHINA WA JESHI LA POLISI CP ISSAYA MNGULU IMEANZA KUFANYA UCHUNGUZI WA TUKIO HILO.

6. AIDHA, JESHI LA POLISI LINATOA WITO KWA WANANCHI KUWA WATULIVU WAKATI SUALA HILI LINASHUGHULIKIWA KISHERIA.

Imetolewa na:-
Advera Senso- SSP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.​

Taarifa ya mwanzo si ilikataa kuwa Polisi hawakupiga risasi katika tafrani hiyo?? Ama kweli!!
 
Hivi kumbe bado wana imani na hii serikali...
 
.................askari walipiga risasi hewani kama onyo la kuwatawanya. Kwa kuwa sheikh ponda alikuwa hewani, basi risasi moja ikamkuta huko na kumjeruhi begani
 
mbona huo ni msimamo mzuri, iundwe tume huru ya uchunguzi then majibu ya uhakika yatapatikana.
Je mlitaka watangaze maandamano kesho nchi nzima au?

Mnataka tume ngapi? Chezea ccm weyeeee..... tume ya mwangosi,.ya ulimboka, tume mbilu arusha,.tume za mabomu mbagala na glamboto, tumetumetume
 
Wapeni pole hawa jamaa Elimu Dunia is an issue sasa hata kuwasikiliza hao unapoteza muda .
 
mbona huo ni msimamo mzuri, iundwe tume huru ya uchunguzi then majibu ya uhakika yatapatikana.
Je mlitaka watangaze maandamano kesho nchi nzima au?

Kama inawezekana wafanye hivyo
 
Sasa hata majambazi yakiuwa watu mtaitaka serikali kuunda tume ilhali kuna mahakama. kwanza Ponda hajaripoti hili tukio Polisi hatujui amepata wapi PF3 ya kumsaidia kupata matibabu muhimbili
 
Wengi wanaojifanya kuwa waste maji wa Waislamu JF mko wapi kwenye hili.? Idd pili imebakwa ......mko wapi?
 
Ulikwishaona wapi chui anakula mbuzi na kisha anajiundia tume ya kujichunguza mwenyewe!?
 
Back
Top Bottom