Yaani siwezi sema sana jamani, nahisi kama leo nimerudi kwenye maisha yangu ya utoto kabisa aah wapi mwalimu Madirisha, huyu alikuwa akipenda sana kujificha dirishani kuchungulia wanafunzi wanaotoroka ama kuchelewa kuingia darasani.
alikuwa na shati lake la mikono mirefu jekundu, akilikunja...