Alan Turner wa executive solutions afariki dunia


Soulbrother

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Messages
408
Likes
4
Points
35
Soulbrother

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2009
408 4 35
Nimepata taarifa kuwa Alan Turner,mmoja wa waanzilishi wa executive solutions amefariki.

Nasikia Agrey Mareale na wafanyikazi wa Executive solutions wana huzuni kuhusu hicho kifo poleni

RIP
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
14,744
Likes
2,035
Points
280
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
14,744 2,035 280
Nimepata taarifa kuwa Alan Turner,mmoja wa waanzilishi wa executive solutions amefariki.

Nasikia Agrey Mareale na wafanyikazi wa Executive solutions wana huzuni kuhusu hicho kifo poleni

RIP
RIP marehemu. Kwa kawaida kama mtu wa karibu anatangulia mbele ya haki lazima watu watakuwa na huzuni
 
saitama_kein

saitama_kein

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
982
Likes
3
Points
33
saitama_kein

saitama_kein

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
982 3 33
Pole zetu kwa wafiwa na Mungu aiweke mahala pema peponi roho ya marehemu.
 
Ngongo

Ngongo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2008
Messages
12,487
Likes
4,216
Points
280
Ngongo

Ngongo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2008
12,487 4,216 280
RIP Alan Turner.
 
The Farmer

The Farmer

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Messages
1,651
Likes
494
Points
180
The Farmer

The Farmer

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2009
1,651 494 180
R.I.P Alan Turner
 
Superman

Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
5,702
Likes
108
Points
160
Superman

Superman

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
5,702 108 160
Source: http://mrokim.blogspot.com/

Habari zilizoifikia blogu hii ya watu, hivi punde zinasema mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya executive solutions ya jijini dar es sallaam, bw. Alan robert turner amefariki dunia nchini afrika kusini mchana wa leo alipokwenda kuchekiwa afya yake kama iliyo ada yake kila mwaka.aliondoka akiwa mzima wiki iliyopita, na vipimo vya kidaktari vilionesha yu bheri wa afya.lakini siku mbili baadaye akazimia na kudondoka, kisha akarejeshwa tena hospitali, ambako hali yake ikazidi kudorola mpaka mauti yalipomfika jumanne mchana.

Bw.turner pichani juu, ni raia wa uingereza, aliyeishi nchini afrika kusini kwa muda mrefu alijiunga na kampuni ya executive solutions miezi michache baada ya kuanzishwa kwake na aggrey marealle mwaka 2004.alikuwa akiishi mbezi beach dar es salaam jirani na hoteli ya jangwani sea breez na white sand.

Mkurugenzi huyo ambaye alikuwa ndiye wa pili kimadaraka baada katika kampuni hiyo ya mkurugenzi mtendaji aggrey marealle atakubmbukwa sana na wafanyakazi wote wa kampuni hiyo hasa media relations managers benjamin thompson na ibrahim kyaruzi ambao ndio wamefanya naye kazi tangu mwaka 2004. Pole sana bw marealle kwa kuondokewa na nguzo yako hiyo. Bwana alitoa na sasa ametwaa.

Mipango ya mazishi itafahamika kesho baada ya kupata taarifa ya familia yake huko afrika kusini.

Blogu ya watu inatoa pole kwa wafiwa wote hasa executive solution..
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
351
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 351 180
Nimepata taarifa kuwa Alan Turner,mmoja wa waanzilishi wa executive solutions amefariki.

Nasikia Agrey Mareale na wafanyikazi wa Executive solutions wana huzuni kuhusu hicho kifo poleni

RIP
Unasikia?....huh! my genitals!
This doesnt sound at all!
Ulitegemea nini kwenye habari kama hii...wafurahie?
RIP ndugu...sikuwahi kusikia habari zako, lakini nadhani ulikuwa na utu fulani!
 
W

Walivyo

Member
Joined
Dec 8, 2009
Messages
11
Likes
1
Points
0
W

Walivyo

Member
Joined Dec 8, 2009
11 1 0
RIP Alan Turner, Mbele yetu nyuma yake wote tupo safarini, poleni wafiwa!
 
Mesh2lover

Mesh2lover

Member
Joined
Dec 4, 2008
Messages
67
Likes
0
Points
13
Mesh2lover

Mesh2lover

Member
Joined Dec 4, 2008
67 0 13
SAD I knew this Guy since 2000 when he used to work with A1 then outdoor advertising. He was a nice Mzee. RIP Allan.
 
Soulbrother

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Messages
408
Likes
4
Points
35
Soulbrother

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2009
408 4 35
Unasikia?....huh! my genitals!
This doesnt sound at all!
Ulitegemea nini kwenye habari kama hii...wafurahie?
RIP ndugu...sikuwahi kusikia habari zako, lakini nadhani ulikuwa na utu fulani!
Nimesikia...sababu sipo hapo...and about your genitals...hayo ya kwako
 

Forum statistics

Threads 1,250,982
Members 481,550
Posts 29,753,299