Major General Mkisi Hatunaye Tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Major General Mkisi Hatunaye Tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Superman, Feb 22, 2010.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Source: http://www.dailynews.co.tz/home/?n=7674

  Kwa wale Vijana Wa Zamani waliopitia JKT Mtakumbuka Major General Mkisi enzi zake akiwa Mkuu wa JKT, JKT nayo ilikuwa "imepamba moto".

  Mungu awafariji wafiwa wote
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Katika salamu zake kwa JKT kutimiza miaka 46, Meja Jenerali Kitundu anasema, umuhimu umeelekezwa katika sekta ya kilimo, mifugo, uvuvi na viwanda, ili viweze kuongeza tija na mapato.

  Tangu kuanzishwa kwake, JKT limeongozwa na wakuu mbalimbali kwa nyakati tofauti. Viongozi hao ni Assistant Supaeritendant of Police (ASP), David Nkulila kuanzia Julai 1963-Desemba 1967.

  Wengine ni Robert Kaswende Januari 1968-Mei 1970, Laurence Gama Mei 1970-Januari 1973, Meja Jenerali (mstaafu) Nelson Mkisi Januari 1973-Januari 1989, Meja Jenerali (mstaafu) Makame Rashid Nalihinga Januari 1989-Oktoba 2001.

  Wengeni ni Meja Jenerali (Jenerali) Davis Mwamunyange, Novemba 2001-Juni 2006, Meja Jenerali (Luteni Jenerali) Abdulrahman Shimbo Januari 2006- Septemba 2007, Meja Jenerali (mstaafu) Martine Madata, Septemba 2007-Septemba 6, 2008 na Meja Jenerali Samuel Kitundu Februari 9, 2009 ambaye ni Mkuu wa JKT kwa sasa.

  Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/48593-hotuba-mbalimbali-za-mzee-rashid-mfaume-kawawa.html
   
 3. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tunamtakia safari njema, akapumzike salama. Akamwambie Mwalimu vitimbi vya watu aliowapa dhamana kukamata nchi yake. Wafiwa poleni, ni njia ya kawaida ya mwanadamu na huo ndio mwisho wa utalii wa duniani kisha matembezi mapya.
   
 4. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Napenda kuuliza:

  Kwa kuwa maneno kama hayo yamezoeleka sana katika jamii (bila kuchukulia kama ulikuwa unafanya utani au kuweka msisitizo wa issue fulani);

  Je, maana yake katika uhalisi wa kweli ni nini? Marehemu Wanasafiri? Wanapumzika? Wanakutana na waliotangulia?
   
 5. W

  Walivyo Member

  #5
  Feb 22, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poleni wafiwa wote na Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi
   
 6. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,681
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Amemaliza alichotumwa na Sir GOD. apumzike kwa amani
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,231
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  RIP.
  Duniani si Kwetu!
   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 37,886
  Likes Received: 9,489
  Trophy Points: 280
  Mkisi alikuwa ngangali, watoto wake walikuwa very simple and down to earth.

  May all beings attain enlightenment.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  RIP Kamanda Mkisi!
   
 10. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Mkuu huyu tulikuwa tunaishi eneo moja huku kwenye hewa nzuri kusiko na pollution . . . I mean huku Segerea kwa wazungu vijana wa mjini wanavyukuita!
   
 11. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  RIP we are on the way, on the same track
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,524
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  Huyu na yeye alikuwa KIBAKA tu kama Waziri wa elimu wa zamani marehemu Chediel Mgonja. Mgonja habari zake zilielezewa sana hapa ndani hadi alivyokuja kuwezwa na Mama Thabitha Siwale huko Singida.

  Alikuwa akifika kambi ya JKT, basi lazima wamuandalie kitoto cha watu eti alale nacho maana usiku baridi. Wengine wanasema kuwa yule Mke wa marehemu Mtono ni yeye alimtia mimba ya kwanza. Kwa kutunza siri ya mzee, kijana Mtono enzi hizo alipewa yule mamaa amuowe na akubali kumtunza mtoto. Jamaa alipofanya hivyo, basi akawa anapanda kazi si kawaida. Kozi moja baada ya nyingine na mwisho hadi akapelekwa Izrael kwenye mafunzo ya ukomandoo na huko (wanasema) zilifyatuka.

  Nilipokuwa Msange JKT, walinipa habari kuwa alipofika hapo, alidai anataka nyama ya mbuzi ila lazima aoshwe. Jamaa wakatafuta mbuzi na wakamchinja na walipomletea nyama akauliza kama alioshwa. Jamaa wakasema nyama iko safi kabisa. Yeye akarudia tena kama MBUZI alioshwa kabla hajachinjwa. Jamaa wakasema hapana. Muda mfupi baadaye, jamaa walikuwa kijijini wakisaka mbuzi mwingine ili wamuoshe kabla hajachinjwa.

  Alipokula na kushiba vizuri, akaenda KUJIPUMZISHA na kitoto cha watu kilicholazimishwa kwenda JKT. Wazazi wanapoteza pesa nyingi ili kusomesha, jamaa linakuja linatumia utafikiri hako kabinti ni choo cha kwenda kutumbukiza vitu vyako na kuondoka bila kukumbuka hata alikuwa na jina gani na mwili gani............

  Kama hao mabinti wameshafariki, ninauhakika watahakikisha kila siku wanamuinamisha na kumsukumizia FENESI kwenye ule mntadao maarufu wa simu Tanzania. Wataofuata wataenda wamejiandaa kwenda kumsulubu kwa ubakaji wake.

  Mungu amchagulie mahali PAZURI kutokana na matendo yake yote duniani.
   
 13. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Mkuu;

  maneno mazito sana hayo . . .

  Hata hivyo uko uwezekano kwamba marehemu alibadili maisha yake na kufanya upatanisho na Mungu Wake . . . . Hakika ya kale yanakuwa yamepita.

  Vinginevyo, kama mwalimu alivyosema na naamu Biblia kwa Uhakika . . . .

  Ni nani basi awezaye kuingia katika ufalme wa Mbinguni?

  Tuombeane Mkuu Sikonge . . . vinginevyo . . . asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe . . .
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,524
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  "Mungu amchagulie mahali PAZURI kutokana na matendo yake yote duniani".

  Mkuu, ndiyo maana nilimalizia na maneno hapo juu. Nafahamu kuwa Mungu ndiye mwamuzi wa yote.
   
 15. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,387
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Poleni sana wafiwa....Mungu awatie nguvu
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,548
  Likes Received: 1,927
  Trophy Points: 280
  Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.Huyu alikuwa mwanajeshi kweli kweli.Geshini cheo Meja General, watoto 15! Alikuwa kamili huyu mkuu!
   
 17. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 299
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Picha tafadhali!wengine tumekuwepo duniani baada ya yeye kufutika katika media!
   
 18. O

  Ogah JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,233
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  RIP Maj. Gen Mkisi, na Poleni sana wafiwa
   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,776
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Pumzika kwa amni
   
 20. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #20
  Feb 23, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,293
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  Ndugu Sikonge umesema kweli kabisa. Jamaa huyu alichangia sana kufanya watoto wa kike wawe wanadhalilishwa sana jeshini kwa vile alikuwa anawafundisha makamanda jinsi ya kuwadhalilisha wasichana kutokana na vitendo vyake hivyo. Hata hivyo kwa vile katangulia mbele ya haki, wajibu wetu kama binadamu ni kuwapa pole wafiwa kwa vile siyo jukumu letu kutoa hukumu kwa matendo aliyofanya.

  [​IMG]

  Modereta, nisaidie kupunguza ukubwa wa picha hiyo hapo juu.
   

  Attached Files:

 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...