Recent content by Walcotinho

  1. Walcotinho

    JamiiForums Tanzania TFF hili ndilo swali mlitakiwa kujiuliza, na hili swali ndilo kila mtu ukimuuliza hakupi majibu

    Kweli kaka.. na kama hiyo kanuni inaainisha mgeni akinyimwa nafasi yakufanya mazoezi, adhabu ya mwenyej ni faini, kama hivyo ndivyo si timu zitafanya maksudi tuu kumyima mgeni asifanye mazoez akijua atalipa tuu icho ki faini. Hapa tunaharibu, pongezi kwa viongozi wa Simba huu ujinga lazima...
  2. Walcotinho

    JamiiForums Tanzania Msaada ufafanuzi Kodi ya Mapato Yatokanayo na Ajira

    Habari familia, kuja jambo linanitatiza, kwa waliopo kwenye ajira hasa binafsi, Kuna hii Kodi ya mapato inayotokana na mshahara, aisee hii Kodi ni kubwa mno inaumiza Sana, sijajua ndo utaratibu ulipo tangu zamani ama ni mabadiliko yaliyotokea hivi karibuni? Maana unakuta anayelipwa Gross...
  3. Walcotinho

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Namtaka mpenzi wangu arudi

    Amazing story.. taam kwel
  4. Walcotinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

    Daah ebwana eeh inauma kwel.. sema hapo em jarib kuomba udhuru kwa bosi akikubal kawaumbue akikataa itabid umchane mke wako tuu
  5. Walcotinho

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa gari la milioni 5 nimeamua kuwekeza

    Vizur kak.. onana na wataalam wa mambo ya agribusiness.. utapata mwanga mzur wa jinsi ya kuwekez na. Kupata faida hata mara tano ya hiyo
  6. Walcotinho

    JamiiForums Tanzania Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    That is fantastic bro..
  7. Walcotinho

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Duh asee.. kiongoz unatuacha dilemma.. tupe tupe bac
  8. Walcotinho

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumkumbatia Makonda , TVE yaanza kupoteza watazamaji

    Acha uongo.. watu wanaangalia na kuskiliza E.fm na E.tv kama kawaida.. iyo kutoskilizwa labda mtaani kwenu
  9. Walcotinho

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Usiruhusu askari wa usalama barabarani kuandika namba yako ya leseni

    Aisee kwakwel iyo na mimi sijaieLewa kabisaa
  10. Walcotinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona dalili hizi Jua unakaribia kuachwa

    Nimeelewa xna mkuu.. yan apo haiitaj darubini kuona
  11. Walcotinho

    JamiiForums Tanzania Okwi amefunga goli nyingi kuliko timu nzima ya Yanga SC

    Tarehe 28 iyo.. Vyura FC lazima wajibebe.. kama naona zile tano tuna wapa tena vilee..
Back
Top Bottom