Ukiona dalili hizi Jua unakaribia kuachwa

Ukiona dalili hizi Jua unakaribia kuachwa

Most people are coward to tell it on your face maana mara nyingi sababu ya kuacha huwa ni selfish reasons. Aidha anakimbilia kwenye mteremko wa life au pesa tu
Wengne wanakimbilia cjui misambwanda cjui urembo na na utoto was ushuani akijua we kapuku anakuacha tu anaogopa kuchekwa na washkaji zake..!!!
 
Nilishawah kuachwa na mademu sita ndn ya wiki, yan kila nikisema nimsahau huyu nibak na wengne kesho asubuh anaondoka mwingne, nikaona hili ni jini sasa, haliwezi likanila likanimaliza wa mwisho nikasema huyu sisubiri namuacha mwenyewe mapemaa. Mpk leo nipo chaputa.
 
Hyu mtu alinipigia drama mpaka basi an,mpka nasema mapenzi hayapo fair kwa kweli
Pole sana drama zinaumiza sana...Mapenzi ya kuachana na drama huwa anaeachwa bila hatia anatoa laana! Hata huko uendapo unabaki huna amani!
 
Mapenzi acha tu,
watu tulioa kabisa,si unajua my wife wako lazima ummaindi kwa sana,sasa yeye akazingua
akaenda mahome kwao 2 years anadai divorce,mwana nikampa.
Kumbe kajamaa kalimdanganya sasa kamemtema anataka tuendelee kuwa mabest,pimbavuu
kupenda tena baaaasi!
Kwa hasira zangu nshakula wadogo zake 2,na
mmoja nafanya mpango nimbebeshe mimba kabisa ili wasikie machungu zaidi.
 
Hahhahh hapana ila watu yanawakuta..mta hadi mara ya mwisho anaonana na mpenzi wake walikuwa vizuri ila ghafla unaambiwa hutakiwi tena

Haoneshi dalili wala nini
yap nimewahi kufanya hivyo baada ya kuchoshwa na tabia yake ya kunifanya kitegauchumi
 
No!nilimuacha ghafla tu bila kisingizio wala sababu yoyote sikumueleza,mpaka Leo hii bado anailiza sababu!!
Mwambie,umemuacha bila sababu atakuwa anaumia..hajui hata kosa lake nini

Ungemwambia ili atakapoenda kwa mwingine abadili tabia
 
Wengne wanakimbilia cjui misambwanda cjui urembo na na utoto was ushuani akijua we kapuku anakuacha tu anaogopa kuchekwa na washkaji zake..!!!
huyo anaeogopa kuchekwa na washkaji zake sio mwanaume, atakuwa kiben 10.
 
Mapenzi yanauma ukipenda usipopendwa na ukaja kuachwa....lkn ukipenda unapopendwa aisee furaha yake haina mfano.

kwa ushauri tu: wale maPlayer wakiume na wakike mnapofanya huo uhuni wenu ni bora uwe mkweri mtu ajue upo for one night stand sio unampa matarajio mwenzio anaanza kukupa moyo wote, aisee maumivu ya kuachwa sio mazuri.

pia na sisi wengine tukiumizwa isiwe ndo sababu ya kuogopa kupenda tena kwa dhatii....ukitendwa tulia lia unyamaze usahau maisha yaendelee, sio unatoka na mihasira yako ya kuachwa unakuja kwa mwngne unakuwa upo upo tu na wasi wasi...

raha ya mapenzi ni kupenda kwa moyo woote bila kuhofia kuumizwa.

"Mtu hawezi kusema amependa hadi pale atakapokuwa haoni sababu ya kumsaliti mpenzi wake"

VIJANA TUBADILIKENI.

4a87678327a5680e1a704f05f22734c5.jpg
 
We jamaa umeongea jambo kubwa sana mkuu,heko apo ulipo agiza bia ntalipa
 
Hakuna anaeweza kukiri kuwa hateswi na mahusiano ya mapenzi sii mwalimu au mzazi wala meneja hata mkurugenzi lakini mapenzi yanatawala dunia nzima sasa tujifunze hili kidogo

[emoji117] AKIKWAMBIA ANAHITAJI NAFASI:

Hii sio dalili nzuri kikawaida kama mko kwenye mahusiano

Kwasababu nyie wawili mmekubaliana kwamba kila mmoja anavutiwa na mwenzi wake na mko tayari kutumia muda wenu pamoja .

Lakini boyfriend/girfriend anaehitaji nafasi ya peke yake si mtu ambae anataka kuwa na wewe kwa muda mrefu......Chapa lapa
ANAHITAJI NAFASI ? YA NINI ? KWANI UKIWEPO UNAMNYIMA HEWA?
Kama unahitaji alama moja tu ya kukuonyesha kuwa mtu hakutaki ...this is it.
Ni kama anakwambia indirect kuwa hahitaji kukuona.
Haka ka kipande ka kusema, “I need space” ni mbinu ya kutafuta mlango wa kutokea...
Pengine anasema hivyo ili asikuumize sana, Hebu fikiria mtu akwambie bwana eeh sikutaki,

Au akwambie kwa sasa naomba tusionane kuna mambo nafanya nitakutafuta nikiwa na muda,,,, kipi kitakuuma zaidi?? Binadamu tunapenda kudanganywa hivyo uongo unatupa faraja na ukweli unaumiza.

Sasa ndugu ukiona hizo dalili kuliko usubiri hadi uachwe bora uchape lapa tu ujidai na wewe ulikuwa unahitaji space pia, kikakuume mbele kwa mbele bila yeye kujua.

Mtu anajidai anahitaji space saa hizi, wakati mnaanza hakuiona hiyo space?

Mpe space kabla hajaiomba, jiwahi kabla hujaachwa

SULUHISHO:
Ila kama unaweza kurekebisha jaribu kuangalia matatizo madogo mdogo ambayo wewe na mwenzio pengine mmekuwa mkikumbana nayo kwa muda bila suluhu,

Na pia angalia kama mnaweza kuyamaliza kwa kuzungumza na kurekebisha penye madhaifu kabla ya kuachana

Ila mambo makubwa ya kujiuliza wakati unajaribu kuokoa mahusiano mi kama haya:

[emoji843] Je! mahusiano hayo unayahitaji kweli? na je yana thamani ya kuokolewa ? Au uko desparate tu ilimradi uwe na mtu?

[emoji843] Pia angalia kama mwenzio nae yuko tayari kurudi,? ili isiwe wewe tu ndio unalazimishia

[emoji843] Uhusiano wa mapenzi upande mmoja ni mateso bila chuki

[emoji843] Tafuta muda mkae wawili muambizane ukweli, mtoe dinner au mpeleke sehemu anayoipenda

Maana kuachwa si jambo dogo, na si rahisi kulibeba

Ni bora ujiandae ujue kabisa unaachwa kuliko uwe kama kipofu mpk uguswe eeeh jamaa kaenda

Ukijizatiti hata moyo unakuwa hauumi sana

Wazungu wanasema

If you can read signs, you will be better equipped for dealing with getting dumped.

Karibuni kwa Dalili nyinginezo Wanajamvi...
Nawasilisha[emoji63]
Nimeelewa xna mkuu.. yan apo haiitaj darubini kuona
 
Nilishawah kuachwa na mademu sita ndn ya wiki, yan kila nikisema nimsahau huyu nibak na wengne kesho asubuh anaondoka mwingne, nikaona hili ni jini sasa, haliwezi likanila likanimaliza wa mwisho nikasema huyu sisubiri namuacha mwenyewe mapemaa. Mpk leo nipo chaputa.
Haaa haaa ...mkuu yako kali

Haukuhisi umelogwa?
 
Mapenzi yanauma ukipenda usipopendwa na ukaja kuachwa....lkn ukipenda unapopendwa aisee furaha yake haina mfano.

kwa ushauri tu: wale maPlayer wakiume na wakike mnapofanya huo uhuni wenu ni bora uwe mkweri mtu ajue upo for one night stand sio unampa matarajio mwenzio anaanza kukupa moyo wote, aisee maumivu ya kuachwa sio mazuri.

pia na sisi wengine tukiumizwa isiwe ndo sababu ya kuogopa kupenda tena kwa dhatii....ukitendwa tulia lia unyamaze usahau maisha yaendelee, sio unatoka na mihasira yako ya kuachwa unakuja kwa mwngne unakuwa upo upo tu na wasi wasi...

raha ya mapenzi ni kupenda kwa moyo woote bila kuhofia kuumizwa.

"Mtu hawezi kusema amependa hadi pale atakapokuwa haoni sababu ya kumsaliti mpenzi wake"

VIJANA TUBADILIKENI.

4a87678327a5680e1a704f05f22734c5.jpg
Agiza Pepsi baridiii nakuja kulipa hahahaaaaa umeongea binge la point
 
Back
Top Bottom