Recent content by wakyl

  1. W

    JamiiForums Tanzania CCM mrudisheni Makonda kwenye uenezi, twanga pepeta ana pwaya

    Kwa upepo wa kisiasa unavyo vuma hivi sasa, Makonda ni mtu sahihi kueneza sera za chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu Uzuri wa Makonda ni proactive Ushauri wangu ni huo Makonda na Polepole warudi kundini harak sana
  2. W

    JamiiForums Tanzania Stika ya "Nenda kwa Usalama" imekuwa kero

    Habari wana jamvi, Hii issue ya stika za nenda kwa usalama limekuwa kama uchawi. Wazee wa favor wanatusumbua kweli kweli hivi zina umuhimu? Kwanini zisitolewe? Unakuta gari mpya namba E haina hata mwaka imekaguliwa na TBS ila unaombwa stika. Huku Umeme mgao, kule stika na kule mikopo ya Elimu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Utumishi mjiongeze kwa hili kwa suala la usaili kufanyika Dodoma pekee

    Kwanini wasiingie makubaliano na chuo kikuu huria ambacho kina matawi mikoan nchi nzima hadi unguja na pemba. Watu wakawa wanafanyia mtihani kutoka katika maeneo yao husika alafu usahili wa vitendo (oral) ukafanyika kikanda
  4. W

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Charles Kimei ateuliwe kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

    Hao jamaa wote ni practitioners, hakuna mtu nchi hii ana lugha rahisi ya kuelezea uchumi kama Prof Ngowi apart from being a bookworm he is also successful in businessman
  5. W

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Charles Kimei ateuliwe kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

    Hawa ndo wanastahili: 1. Prof Ngowi wa Mzumbe 2. Dkt. Chegere UDSM 3. Dkt. Muhsin PBZ 4. Lawrence Mafuru
  6. W

    JamiiForums Tanzania Wizi salender bridge bado upo

    Maeneo hatarishi yanafahamika miaka nenda rudi lakini hakuna hatua zozote
  7. W

    JamiiForums Tanzania TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Hata picha za kumbukumbu na Marais wastaafu, viongozi wa mihimili hakupiga why?!
  8. W

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Pole sana kapambane tu na OREX, kwa warembo hii itawafaaa sana maana watafaulu kishenz kama wanavyofaulu interview kwa huruma [emoji28]
  9. W

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Kwa wanafunzi wa kada za sayansi ya jamii kidogo unaweza ukawa taini kwa huu mfumo sio science halisi utakuwa unajidanganya utengeneze engineer kwa kumuuliza ka viswali vya kujieeleza viwili kwa dakika 15 kama alivyosema mtoa mada. Science is fact mzee oohooo
  10. W

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Interview na mtihani ni vitu viwili tofauti, Sio kila kitu kikifanywa na wenzetu sisi tuige. Kwa nchi yetu mfumo huu wa mitihan bado sana sidhan hata hao wahadhiri wanaufahamu wa huu mfumo, unaweza kuta hata training hawajapewa kinachofuata ni kuumiza wanafunzi
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

    🤣🤣🤣🤣 mganga njaaaa nakusalimu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. W

    JamiiForums Tanzania Liverpool itaadhibiwa vibaya na club cha flamingo ya Brazil

    Shaikh Yahya umelala? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. W

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom