Wizi salender bridge bado upo

Mzee_londo

Member
Dec 5, 2018
44
225
Leo asubuhi nimeshuhudia jamaa anatoka vichakani kwenye mikoko anajifanya anavuka anakwapua simu na kurudi kwenye mikoko akijifanya kama anakojoa

Simu ilikuwa mbali sikuweza kumpiga picha. Ila inasikitisha eneo nyeti Kama lile karibu kabisa na Kituo cha polisi lakini usalama ni haba

Kama jeshi la polisi wameshindwa kuimarisha ulinzi pale ni bora halmashauri ya manispaa ya Kinondoni waweke fence ijulikane moja ila ni hatari kwa wenye magari na hatari zaidi kwa watembea kwa miguu

Nawasilisha
 

Franky Samuel

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
813
1,000
Unasema hapo salenda wakata hapa Lugalo jeshini mida ya usiku kuna kuwa na wezi balaa kwenye hichi kifoleni cha njia ya kwenda kawe na Tegeta usipofunga kioo umekwisha
 

Emmathias

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
420
500
Vipi siku ukija kuamini kuwa mapolisi wa jirani ya Hilo eneo ndiyo wanahusika na uhalifu?
 

Emmathias

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
420
500
Vipi siku ukija kuamini kuwa mapolisi wa jirani ya Hilo eneo ndiyo wanahusika na uhalifu?
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
55,437
2,000
Wezi wanarudigi wakiona polisi hakuna hapo
Kuna wakati polisi walikuwa wanaweka doria
Ila wakiondoka wanarudi

Ova
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
55,437
2,000
Unasema hapo salenda wakata hapa lugalo jeshini mida ya usiku kuna kuwa na wezi balaa kwenye hichi kifoleni cha njia ya kwenda kawe na tegeta usipofunga kioo umekwisha
Hahaha na daraja la mlalakuwa pale
Hapafai

Ova
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,019
2,000
Huo wizi wa kukwapua simu haujawahi kupoa upo kila siku na hautokuja kuisha ,cha msingi ni kuwa makini sana na kuchezea cm huku vioo vikiwa wazi kwenye foleni ,unawashawishi wakupore hata kama mwizi alikuwa hana nia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom