IGP Sirro huyu Trafiki wako mwenye Mbwembwe Kawe, Lugalo na Mbezi Beach anapokea Rushwa bila Aibu huku akijiamini kabisa

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,210
2,000
Hii nchi raha saana yaani uovu unajengewa nyumba yaani...what a hell...mijitu imeshakuwa addicted na maisha ya hovyohovyo. Hivi Kila kosa lznmtu atoe helaa mengine si onyo au kalipio yaani mtu akikosea tuu azame mfukoni.....aisee
Halafu anatokea mtu mmoja anasema sio kila rushwa ina madhara, baadhi ya watanzania sijui wana akili gani yaani uovu unachukulia ni jambo la kawaida wanasahau kuwa hata onyo linafaa kutumika lakini wanaikubali rushwa! Then kuna siku watarudi hapa na kusema nchi imetapakaa rushwa kila sehemu wakati wao ni wazoefu wa kutoa. Rushwa ni adui wa haki.
 
Ntolonyonyo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,201
2,000
Ambaye hajawahi kufanyakosa lolote na awe wa kwanza kumtumia lawala..achilia mbali kula rushwa, ni mara mia ungeenda ukamuambia mwenyewe moja wa moja....zaidi ya hapo ni roho mbaya tu....haijalishi kachukua au hajachukua....
Kuna watu kibao huko wanakula mema ya hii nchi hatari....wanakula per diem za kutosha tu..tenda ambazo hazikatwi kodi yoyote, sembuse hawa jamaa wanashinda barabarani...jua mvua lao...??
 
fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,946
2,000
Huwa kanakuwa njia panda ya Kawe pale Maringo na kuna muda huwa anakuwa njia panda ya Kawe pale Lugalo na wakati mwingine anakuwa Mbezi Beach Tangi Bovu.

Ni Trafiki ambaye mara kwa mara nimeona Watu wakimsifia kwa Kufanya Mbwembwe zake huku akiongoza Magari na nadhani huenda hili ndilo linamfanya hata akichukua Rushwa asijulikane na asijadiliwe Mitandaoni.

Leo kwa macho yangu mida ya 9 Kasorobo huyu Trafiki Mbilikimo ( Emolo ) ila mwenye Mbwembwe jirani kabisa na ilipo Benki ya NBC Tangi Bovu akiwa anakagua Gari ya Dada Mmoja hivi iliyogongana na nyingine aliisimamisha Gari aina ya Canter ( Kenta ) iliyobeba Mbao kisha akawahi kwa Dereva na akapewa Tsh 5,000/= ambayo aliikunja Kiustadi na kuitumbukiza Mfukoni na kuendelea na Maisha.

Huku nikidhani kuwa huenda Tukio hilo la Kipumbavu na Kinyume na Maadili ya Kipolisi niliona peke yangu kumbe hata baadhi ya Madereva Bodaboda baadhi Jirani waliona na Kunishangaa huku wakisema kuwa Mimi ni Mgeni wa huyo Trafiki kwani Wao wameshamzoea na kwamba kwa Siku akikosakosa mno Pesa kuanzia Asubuhi hadi Jioni hakosi kati ya Tsh 50,0000/= hadi 75,000/=

Najua Maisha sasa ni Magumu hivyo kuna muda Mtu anaamua Kujiongeza kwa namna namna ila basi Staha itumike pamoja na Umakini.

Yaani kwa namna alivyoichukua ile Pesa ( Rushwa ) kiukweli imeonyesha kuwa haogopi, anajiamini na anaidharau ile Uniform yake na hata Jeshi la Polisi.

Mwisho IGP ikikupendeza kwa nia njema tu muonye huyu Kijana wako ( Trafiki ) aachane mno na tabia yake ya Kupenda tu Kutongoza hovyo Wanawake ambao huwa anasimamisha Gari zao ama Kuzikagua au kwa Makosa kweli ya barabarani.

Kuna Njemba moja anamlia sana Timing kwani ameshatonywa kuwa haka Katrafiki Emolo ( Mbilikimo ) kamemtongoza Mkewe na anahisi ameshatinduana ( fanyana nae ) na Jamaa ( mwenye Mke ) kasema Yeye hatofanya kama Hamza alivyofanya kwa Polisi wako Salenda Briji ila atamsodoma na kumgomora kwa kuelekea usawa wa ilipo kwa Mpalange yake.

Mdhibitini upesi sana asipende Rushwa.
Acha udhalilishaji na dharau kwanza maana inafuta hoja talk nzuri sana,Kua Emolo/mbilikimo si matakwa yake
 
kasulavenance

JF-Expert Member
Jan 23, 2020
756
1,000

Shida yako ni wivu anamdonoa mke wako!
 
wakyl

Member
Mar 24, 2017
36
125

IMG_7560.jpg

Unaemzungumzia ni huyu au?
 
COMOTANG

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
1,742
2,000
Japo

Japo kapicha mkuu ili tukuamini
 
Samora snr

Member
Jul 1, 2021
41
125
Kwa sisi madereva wakongwe kitambo hicho hapa mjini,umenikumbushs kulikuwa na traffic
Alikuwa mkuda naye anaitwa "kimti"
Alikuwa anapenda sana kukaa pale magomeno
Mataa ,alisumbua sana enzi zake ila alikuja letewa zengwe alipotezwa kabisa alitupwa
Mkoano huko akapoteaa

Ova

Kimti mtu mmoja mfupi mweusi ali pelekwa Lindi .
 
Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
6,222
2,000
Huwa kanakuwa njia panda ya Kawe pale Maringo na kuna muda huwa anakuwa njia panda ya Kawe pale Lugalo na wakati mwingine anakuwa Mbezi Beach Tangi Bovu.

Ni Trafiki ambaye mara kwa mara nimeona Watu wakimsifia kwa Kufanya Mbwembwe zake huku akiongoza Magari na nadhani huenda hili ndilo linamfanya hata akichukua Rushwa asijulikane na asijadiliwe Mitandaoni.

Leo kwa macho yangu mida ya 9 Kasorobo huyu Trafiki Mbilikimo ( Emolo ) ila mwenye Mbwembwe jirani kabisa na ilipo Benki ya NBC Tangi Bovu akiwa anakagua Gari ya Dada Mmoja hivi iliyogongana na nyingine aliisimamisha Gari aina ya Canter ( Kenta ) iliyobeba Mbao kisha akawahi kwa Dereva na akapewa Tsh 5,000/= ambayo aliikunja Kiustadi na kuitumbukiza Mfukoni na kuendelea na Maisha.

Huku nikidhani kuwa huenda Tukio hilo la Kipumbavu na Kinyume na Maadili ya Kipolisi niliona peke yangu kumbe hata baadhi ya Madereva Bodaboda baadhi Jirani waliona na Kunishangaa huku wakisema kuwa Mimi ni Mgeni wa huyo Trafiki kwani Wao wameshamzoea na kwamba kwa Siku akikosakosa mno Pesa kuanzia Asubuhi hadi Jioni hakosi kati ya Tsh 50,0000/= hadi 75,000/=

Najua Maisha sasa ni Magumu hivyo kuna muda Mtu anaamua Kujiongeza kwa namna namna ila basi Staha itumike pamoja na Umakini.

Yaani kwa namna alivyoichukua ile Pesa ( Rushwa ) kiukweli imeonyesha kuwa haogopi, anajiamini na anaidharau ile Uniform yake na hata Jeshi la Polisi.

Mwisho IGP ikikupendeza kwa nia njema tu muonye huyu Kijana wako ( Trafiki ) aachane mno na tabia yake ya Kupenda tu Kutongoza hovyo Wanawake ambao huwa anasimamisha Gari zao ama Kuzikagua au kwa Makosa kweli ya barabarani.

Kuna Njemba moja anamlia sana Timing kwani ameshatonywa kuwa haka Katrafiki Emolo ( Mbilikimo ) kamemtongoza Mkewe na anahisi ameshatinduana ( fanyana nae ) na Jamaa ( mwenye Mke ) kasema Yeye hatofanya kama Hamza alivyofanya kwa Polisi wako Salenda Briji ila atamsodoma na kumgomora kwa kuelekea usawa wa ilipo kwa Mpalange yake.

Mdhibitini upesi sana asipende Rushwa.
Trafiki na rushwa barabarani ni kama uji na mgonjwa, kila wanasimamisha ya gari la abiria au la mizigo na kujifanya wanakagua leseni nk, dereva huchukua hela na kuiweka kwenye leseni na kumpa askari. Askari alishaondoka he la "yake" humrudishia dereva leseni na safari kuendelea mpaka atakaposimamishwa tena na kurudia zoezi.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,692
2,000
Trafiki na rushwa barabarani ni kama uji na mgonjwa, kila wanasimamia ya gari la abiria au la mizigo na kujifanya wanakagua leseni nk, dereva huchukua hela na kuiweka kwenye leseni na kumpa askari. Askari alishaondoka he la "yake" humrudishia dereva leseni na safari kuendelea mpaka atakaposimamishwa tena na kurudia zoezi.
Kweli kabisa

Ova
 
Baraja Gang

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
1,532
2,000
Kama unamzungumzia Ashraf, huyo mwana mkaushie tu kabisa au pengine wewe utakuwa mgeni wa hii njia. Kwa kazi anayoifanya na namna anavyoishi na madereva wa hii njia usiongee usichokijua. Mchizi mpaka afikie hatua akuandikie cheti basi umezingua pakubwa mno vinginevyo anakuelekeza tu namna inavyotakiwa iwe ujirekebishe.
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,753
2,000
Bila video ni umbeya na uzushi, tena huenda mwandishi ni trafiki, anayetamani kuhamishiwa hicho kituo.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,877
2,000
Huwa kanakuwa njia panda ya Kawe pale Maringo na kuna muda huwa anakuwa njia panda ya Kawe pale Lugalo na wakati mwingine anakuwa Mbezi Beach Tangi Bovu.

Ni Trafiki ambaye mara kwa mara nimeona Watu wakimsifia kwa Kufanya Mbwembwe zake huku akiongoza Magari na nadhani huenda hili ndilo linamfanya hata akichukua Rushwa asijulikane na asijadiliwe Mitandaoni.

Leo kwa macho yangu mida ya 9 Kasorobo huyu Trafiki ila mwenye Mbwembwe jirani kabisa na ilipo Benki ya NBC Tangi Bovu akiwa anakagua Gari ya Dada Mmoja hivi iliyogongana na nyingine aliisimamisha Gari aina ya Canter ( Kenta ) iliyobeba Mbao kisha akawahi kwa Dereva na akapewa Tsh 5,000/= ambayo aliikunja Kiustadi na kuitumbukiza Mfukoni na kuendelea na Maisha.

Huku nikidhani kuwa huenda Tukio hilo la Kipumbavu na Kinyume na Maadili ya Kipolisi niliona peke yangu kumbe hata baadhi ya Madereva Bodaboda baadhi Jirani waliona na Kunishangaa huku wakisema kuwa Mimi ni Mgeni wa huyo Trafiki kwani Wao wameshamzoea na kwamba kwa Siku akikosakosa mno Pesa kuanzia Asubuhi hadi Jioni hakosi kati ya Tsh 50,0000/= hadi 75,000/=

Najua Maisha sasa ni Magumu hivyo kuna muda Mtu anaamua Kujiongeza kwa namna namna ila basi Staha itumike pamoja na Umakini.

Yaani kwa namna alivyoichukua ile Pesa ( Rushwa ) kiukweli imeonyesha kuwa haogopi, anajiamini na anaidharau ile Uniform yake na hata Jeshi la Polisi.

Mwisho IGP ikikupendeza kwa nia njema tu muonye huyu Kijana wako ( Trafiki ) aachane mno na tabia yake ya Kupenda tu Kutongoza hovyo Wanawake ambao huwa anasimamisha Gari zao ama Kuzikagua au kwa Makosa kweli ya barabarani.

Mdhibitini upesi sana asipende Rushwa.
Hii ni kawaida ungekuwa hata wewe ungechukua. Polisi nao ni binadamu Kama sisi sio kuwa wao ni malaika. Rushwa mpaka ni dunia nzima.polisi kutongoza sio dhambi. Ke si anamkataa kwani akalazimishwa kuwa amkubali. Tongozo ni kawaida kabisa Kama amevutiwa na ke aingize vocals kistaarabu basi atakayemuelewa atatoa ke ampe.
Ama hautongozi wewe
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,565
2,000
Hao wanene wanalamba mgao wa tozo ya uzalendo kwenye sandarusi iweje watumishi wa chini waangushiwe jumba bovu kwa kujikimu na vijisenti vya kubrashia viatu, nyumba isafishwe kutokea chumbani.
 
jkipaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2019
2,008
2,000
Rushwa zote zina madhara, hii kauli ya kuwa sio kila rushwa ina madhara ndizo zinazopelekea kukua kwa tatizo! Tunakoelekea tunalibomoa taifa. Narudia tena "RUSHWA ZOTE ZINA MADHARA"
Kununua haki yako kuna madhara!!
Kwa hiyo unashauri huyo dereva asingekubali kutoa buku tano,na angekubali kulipa fine ya 30000!?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom