Habari wana jamvi,
Hii issue ya stika za nenda kwa usalama limekuwa kama uchawi. Wazee wa favor wanatusumbua kweli kweli hivi zina umuhimu? Kwanini zisitolewe? Unakuta gari mpya namba E haina hata mwaka imekaguliwa na TBS ila unaombwa stika.
Huku Umeme mgao, kule stika na kule mikopo ya Elimu pale usiempenda kaja basi tafrani.